Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

Ukishajua kwamba kila mwanadamu ana hatma yake, wala hutasumbuka kutamani hatma za wengine...

Riziki mafungu saba...
 
Kimambo dogo smart. Na ana malengo sana huyo.. ni mzuri sana wa mawazo na kuyafanyia kazi.
Wakati classmate wake anaandika thread kuponda hapa. Huyu jamaa kazi yake nikumake things happen.
Kaoa mwaka jana tu hapo pisi moja matata.

Huyu dogo ashawahi kuishi Tanga?

Kuna Kimambo chotara kama huyu alikuwa na kaka yake pia, waliwahi kuishi Chumbageni kwa aunty yao...
 
Wakati wewe unaona 700000 ndogo, kuna mtu anahangaika angalau apate ajira ya 300000 ili aendeshe familia yake
Kweli kabisa na wakati huo, kuna tunaotamani hata 50k tu itusogeze kidogo mambo hayaendi, so muhimu ni kuridhika na kuongeza jitihada za kujikwamua.
 
  • Thanks
Reactions: naa
we endelea tu kukwangua vocha yeye awe director .. kwani shida ipo wapi mkuu ...
 
Una bahati sana ndugu, anza kumtumia yeye kama connection ya kufika malengo yako,

Connection ndio hizo sasa

Amka tumia,

Haiwezekani darasa zima muwe CFO-Vodacom, lazima utofauti uwepo ndivyo dunia inavyokwenda hivyo
 
Back
Top Bottom