Introsagvert JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,480 Reaction score 3,085 May 20, 2025 #101 Halafu kuna sisi tunaondesha vitz 2sz
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,510 Reaction score 11,013 May 21, 2025 #102 Isanga family said: Sio gari ya bata hiyo mazee.. Click to expand... Unajua sisi bongo Mara nyingi kila kitu tunakiangalia kwenye monetary value. Hatuelewi kwamba kuna faida nyingine ni priceless. It’s about your comfort. Kutembelea gari zuri ni faida kwako in terms of comfortability.
Isanga family said: Sio gari ya bata hiyo mazee.. Click to expand... Unajua sisi bongo Mara nyingi kila kitu tunakiangalia kwenye monetary value. Hatuelewi kwamba kuna faida nyingine ni priceless. It’s about your comfort. Kutembelea gari zuri ni faida kwako in terms of comfortability.
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,510 Reaction score 11,013 May 21, 2025 #103 Introsagvert said: Halafu kuna sisi tunaondesha vitz 2sz Click to expand... Mkuu mshukuru Mungu. Umepambana umefika hapo. Hakuna anyeijua kesho. Unaweza miliki gari nyingine nzuri zaidi. Ni swala la mda tuu.
Introsagvert said: Halafu kuna sisi tunaondesha vitz 2sz Click to expand... Mkuu mshukuru Mungu. Umepambana umefika hapo. Hakuna anyeijua kesho. Unaweza miliki gari nyingine nzuri zaidi. Ni swala la mda tuu.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,838 Reaction score 47,453 May 21, 2025 #104 Masanja said: Mkuu mshukuru Mungu. Umepambana umefika hapo. Hakuna anyeijua kesho. Unaweza miliki gari nyingine nzuri zaidi. Ni swala la mda tuu. Click to expand... Wakati sisi wengine huwa tunapanda na Hiace na maisha yanaenda ndugu zangu magari sijui wanayachukuliaje..
Masanja said: Mkuu mshukuru Mungu. Umepambana umefika hapo. Hakuna anyeijua kesho. Unaweza miliki gari nyingine nzuri zaidi. Ni swala la mda tuu. Click to expand... Wakati sisi wengine huwa tunapanda na Hiace na maisha yanaenda ndugu zangu magari sijui wanayachukuliaje..
becknature JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 747 Reaction score 990 Jun 15, 2025 #105 nipo toyota hilux Ln166 double cabin, 2800cc Engine 3L, mpaka sasa imetembea 320000km . Safari popote mpaka kesho.
nipo toyota hilux Ln166 double cabin, 2800cc Engine 3L, mpaka sasa imetembea 320000km . Safari popote mpaka kesho.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,618 Reaction score 4,295 Feb 26, 2026 #106 Aisee
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,838 Reaction score 47,453 Feb 27, 2026 #107 Ford Ranger wamemaliza kwenye pick up ni gari lenye balance ngumu na mwendo upo..