Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

Ford yeyote ila siku zote nazipa nyota tano nlipiga safari ndefu na ford escape gari mwonekano wake so mzuriii kivileeeee ila gari Iko stable sana road haihami hovyo sasa nkajichanganya na Tako la nyani asee hizi gari sijui watu wanazipendea nini zaidi ya kua luxury ila gari haiko stable hasa ukiwa 100+km kukutopiga gwara ni sekunde tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…