Storch hagongi beat...anachofanya ni kutengeneza melody, lead instrumental ya keys na keys za Chords.
Rejea kipindi kile Bizman kwa P Funky au Said Chomolee (sijui nimepatia jina lake)
Instrumentation ya beat na keys arrangments ni zaidi ya Kicks na Snares.
Nakaribisha mapovu kwa maproducers uchwala wa kibongo.