Hii mada imekaa kinafiki flani hv, au tayari kuna kitu ume-target tofauti na maana halisi ya hii mada.Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!
Kwani wewe unasemaje , mkuu 'Mbaga Jr'.Hii mada imekaa kinafiki flani hv, au tayari kuna kitu ume-target tofauti na maana halisi ya hii mada.
Pia hiyo kusema ww n ccm, imekaa kimtego.
Anyway,
Hao watu 10 wa kila ukiongea nao unakutana nao wapi?
Mnauhakika mmesajili wanachama 13m? Ground kukotofauti wakuuKadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!
Binafsi sina mzunguko wa watu wanaoongea kuhusu siasa, mm sijui siasa zaidi ya kuisoma mitandaoni na huko inaonyesha watu wahaipendi ccm.Kwani wewe unasemaje , mkuu 'Mbaga Jr'.
Si ueleze tu ukweli unaouona wewe kuhusu kupendwa kwa CCM?
Mwenzako kaona kama alivyo simulia, nawe tueleze unavyoona kivyako.
Mnara wa BabeliKadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!
Ah bc mods wameshaulamba 😂 ilikuwa suala la muda tuuSamahani nipo nje ya Mjadala, nautafuta Uzi ulikuwa unasema mama abaki au aachie madaraka?
Mara ya mwisho kuangalia Kura za abaki ziliiuwa 9 na Kura za kuachia madaraka zilikuwa 249.
Ule Uzi sijauona tena au umefutwa?
NB.Hii mada kwenye ule Uzi kuna majibu 100%
Kweli lilikuwa suala la muda Tu, hata michango ya wachangiaji ilikuwa inasema huu Uzi hautadumu , maana Kura 9 kwa 249 sio mchezoAh bc mods wameshaulamba 😂 ilikuwa suala la muda tuu
Kwa sababu nyie ni wajinga, wauaji, watekaji, wabadhirifu na bado mnatetea kila udhalimu naofanyika nchini bila kujali hisia na hasira za wananchi wenye maisha magumu na wanaoishi kwenye lindi la umaskini huku viongozi wenu na watoto wao wanauza nchi na kujilimbikizia maliKadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!
Popote pale. mjini na vijijini!Hii mada imekaa kinafiki flani hv, au tayari kuna kitu ume-target tofauti na maana halisi ya hii mada.
Pia hiyo kusema ww n ccm, imekaa kimtego.
Anyway,
Hao watu 10 wa kila ukiongea nao unakutana nao wapi
Nilikuwa safarini mahali flani, katika hiyo safari alikuwepo ndg aliyefiwa na hao wanaccm nilimuonyesha komenti za jf alisikitika sana, akasema kwasasa kuwa ccm ni hatari kwa kuchukiwa.Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!