Ikwiriri-rufiji tena hali ni tete

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Ndugu wana jamii nadhani mnakumbuka punde tulikua na vurugu zawakulima na wafugaji,Hali sio shwari tena, leo mabomu yanarindima wananchi wa ikwiriri wanaandamana wakikataa mitambo ya mafuta ya kuzalishia umeme isiondolewe.Madai yao hayana mantiki,wanataka yabaki kama emergency ingawa tunatumia umeme wa gesi! inatishia amani
 
asante kwa taarifa mkuu mayunga, nipo safarin kuelekea ikwiriri, inabidi nichukue tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…