'ikulu'

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Sasa wakati natoka ndo nikaiona ile picha,barabara yote ikawa haipitiki maana hata ubao ulikua hautoboki kwa msumari,na kalamu zimemwagwa zote juu ya mnazi.ile nachukua chaki tu Daktari akawa amefika kila mmoja alikua ameshika bunduki yake yenye maua mazuri na zile za Ilkulu pia zilimiminwa kwenye sufuria ileile ya kutoka Manzese mpaka Oysterbay!
 
una kaa liwa nini wewe au hukai mjini???
 
mjanja....., fumbo mfumbie .....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…