ikulu yambeba Nyalandu


Honestly mimi sioni impact yoyote kiutendaji na hata kiuendeshaji kwani mfumo ni ule ule watu ni wale wale...kama kuna mtu anategemea changes yenye tija ndani ya CCM basi lazima itakuwa ana ugua Dengu la muda mrefu ambalo limejificha kwenye mishipa ya akili!... Wangekuwa serious Kagasheki angeendelea kuitumikia hiyo wizara siyo huyo Mmarekani mwenye kutenda kwa niaba ya waliomtuma kubinafsisha mbuga zetu na wanyama wetu ...
 
Nyalandu ni ji2 linaloishi kwa umbea umbea kawafitini wenzake hadi kapewa funguo ya uwaziri,hovyo sana huyu jamaa
 
Wamewatoa ili waweke watu wao!unatoa wataalam unawekaa wababaishaji!Hii nchi haitaendelea kwa mfumo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…