Hii ni mipango na itafanikiwa,najiuliza hivi Magufuli atafanya kazi mwenyewe?mitandao imetulia inamsubiri amalize haraka zake wamweke chini,hakuna linaloshindikana nchi hii
Elimu yetu sisi Tanzania haki ya nani hopeless kabisa! Akitoka huyu akaingia yule yote ni yale yale tu hakuna ujuvi wowote kwenye kutoa taarifa. Sasa hii nayo ina tofauti gani na taarifa iliyokuwa imetolewa mwanzo? Hii nayo ni fake tuipuuze? Garson Msigwa hebu jifundishe bwana wacha kutupelekapeleka kama enzi za Salva Rweyemamu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.