Baada ya wana JF kuwasuta weee sasa wamebadili e-mail. sasa wanatumia GMAIL.
Si haba maana baada ya miaka 50 ya uhuru mwendo ndio huo na nina hakika mheshimiwa Rais anasoma hii maada na kuona jinsi gani watendaji wake walivyokuwa wanajua kutumia pesa.
Bajeti ya idara ya mawasiliano kwa mwaka ni dola milioni 10 lakini wameshindwa kuwa na e-mail zinazoeleweka
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA ( Sijajua Ikulu zanzibar kama bado wanatumia NETSCAPE au HOTMAIL)
Tazama hapa:
MICHUZI BLOG: RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI
Ndugu HNIC kama uoni matatizo ya gmail kutumiwa na Ikulu, inaelekea matatizo unayo wewe.acha dharau wewe
gmail ina matatizo gani?
acha dharau wewe
gmail ina matatizo gani?
Sio hilo tu ndugu zangu hata kanuni ndogondogo za uandishi hawajui. Kwa mfano mwisho wa tangazo wameandika: Imetolewa na; Hiyo semicoloni siyo mahali pake hapo. Haikupaswa kuwepo. Pili, tarehe wameandika hivi: 16 Septemba, 2014. Hakuna mtindo wa kuandika tarehe wa namna hiyo. Walipaswa kuondoa hiyo koma. Mwezi ukikaa katikati hakuna tena kuweka koma. Au waanze na mwezi km wanapenda kutumia sana koma. Wangeandika hivi: 16 Septemba 2014 auSeptemba 16, 2014 au 16.9.2014. Naamini hili darasa ambalo ni elementary sana (Communication Skills ya sekondari) litakuwa limewafikia. Jamani ikulu ni shidaa!
acha dharau wewe
gmail ina matatizo gani?
Huko ni kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi...yahoo ni bora kuliko wenzake maana mara moja moja hua anaigomea NSA kutoa mawasiliano ya wateja wao.End the Lie – Independent News | Alternative News DailyBaada ya wana JF kuwasuta weee sasa wamebadili e-mail. sasa wanatumia GMAIL.