Ikulu ya Rais Somalia yashambuliwa

Ikulu ya Rais Somalia yashambuliwa

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
1655988_737178992967435_221585312_n.jpg

Wapiganaji wa kundi la wanamgambo la Al Shabaab nchini Somalia meshambulia Ikulu ya Rais katika mji mkuu Mogadishu.
Umoja wa mataifa unasema umefahamishwa kuwa rais wa nchi hiyo hakujeruhiwa na yu salama na kwamba shambulizi la wanamgambo hao lilitibuka.
Waziri wa mambo ya usalama wa nchi hiyo Abdi Karim Hussein, amesema baadhi ya washambuliaji wamefariki na wengine kukamatwa.
Kundi la Al- Shaabab linalopigana na utawala nchini humo limedai kuhusika na shambulio hilo na kusema makabiliano yangali yanaendelea.
Walianza mashambulizi yao, kwa kutumia gari lililokuwa na bomu ndani yake kwa kuliegesha kando ya ukuta na kisha kuanza kupigana ili kuweza kuingia ndani.
Milipuko mikubwa ilisikika pamoja na milio ya risasi.
Majeshi ya muungano wa Afrika yamekuwa yakipambana na wapiganaji hao na hata kuwafurusha kutoka mji mkuu Mogadishu. Hata hivyo bado wanadhibiti sehemu nyingi nje ya Mogadishu
Chanzo:http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/02/140221_alshabaab_ikulu.shtml

UPDATE:
- ‪Somalia Govt officials say all ‪Shabab‬ attackers have been killed, but gunfire can still be heard inside the Presidential palace.

-All roads leading to the presidential palace in Mogadishu closed by Amisom & govt troops, no Journalists allowed to go near the scene

-Al-Shabaab militants say they attacked the presidential palace "in order to kill or arrest those who are inside
 
Jamaa walikuwa na suicide vests,bunduki na grenades .....ila Mzee wa kaya yuko pouwa
 
It is not clear how many people died in the attack but a minister told the BBC the situation was "under control".

President Hassan Sheikh Mohamud has told the UN envoy to Somalia he was not harmed, envoy Nick Kay has tweeted.

The al-Qaeda-linked group al-Shabab has said it carried out the attack, which it said was still ongoing.

Senior police officer Abdikadir Ahmed told the Reuters news agency the fighting was going on in the house of a military commander within the presidential compound, near the palace.

"The car bomb hit and exploded and other al-Shabab cars with armed men drove inside the palace, and heavy fighting is still going on," he said.

Security Minister Abdi Karim Hussein told the BBC Somali service that some of the attackers had been killed and others captured.

He said all of the country's leaders were safe.

Al-Shabab military spokesman Sheikh Abdul Aziz Abu Musab said militants were still in control of some buildings inside the presidential compound.

"Our commandos have attacked the so-called presidential palace in order to kill or arrest those who who are inside," he told the AFP news agency.

Mr Kay said the attack on Villa Somalia had "failed".

"Sadly some lives lost. I condemn strongly this terrorism," he said.

Source....bbc
 
jiulizeni,silaha za alshabaab zinapitia wapi?
 
Hawa jamaaa sijui wanataka nini hata siwaelewagi mie!!! Vipi Magogoni kuko salama lakini???
 
1655988_737178992967435_221585312_n.jpg

Wapiganaji wa kundi la wanamgambo la Al Shabaab nchini Somalia meshambulia Ikulu ya Rais katika mji mkuu Mogadishu.
Umoja wa mataifa unasema umefahamishwa kuwa rais wa nchi hiyo hakujeruhiwa na yu salama na kwamba shambulizi la wanamgambo hao lilitibuka.
Waziri wa mambo ya usalama wa nchi hiyo Abdi Karim Hussein, amesema baadhi ya washambuliaji wamefariki na wengine kukamatwa.
Kundi la Al- Shaabab linalopigana na utawala nchini humo limedai kuhusika na shambulio hilo na kusema makabiliano yangali yanaendelea.
Walianza mashambulizi yao, kwa kutumia gari lililokuwa na bomu ndani yake kwa kuliegesha kando ya ukuta na kisha kuanza kupigana ili kuweza kuingia ndani.
Milipuko mikubwa ilisikika pamoja na milio ya risasi.
Majeshi ya muungano wa Afrika yamekuwa yakipambana na wapiganaji hao na hata kuwafurusha kutoka mji mkuu Mogadishu. Hata hivyo bado wanadhibiti sehemu nyingi nje ya Mogadishu
Chanzo:Ikulu ya Rais Somalia yashambuliwa - BBC Swahili - Habari

Mwambie Waziri Wako Mtaka Misifa na Majivuno Banabana Maembe Wa Mtama Apeleke Majeshi Yetu Huko Uone Kama NDEGE Ya UN Haijarudisha Vichwa na MAJENEZA Ya Askari Wetu Kila Siku. Wasomali Hawarembi Kama Kagame Anavyoirembea Tanzania. Usiku Mwema Nyote Wana JF Wenzangu na Ninawapenda Sana! BYEEEEEEEEEEEEEE.
 
Hawa watu ni shida sana wakilala na kuamka tu wana jipya. Jambo la msingi ni kuimarisha ulinzi katika nchi zetu maana hawatoi taarifa ni kama mvua ya mawe.
 
kahtaan anaweza akatujuza zaidi, manake analikubali hili dhehebu la washika bunduki na mapanga. ha ha ha ha
1904038_667209273343070_331175681_n.jpg
 
kahtaan anaweza akatujuza zaidi, manake analikubali hili dhehebu la washika bunduki na mapanga. ha ha ha ha
View attachment 140848

Lakini hawa jamaa ukienda Eltrea wanakubalika sana.maana ndio walio wasaidia kujitenga toka kwa Ethiopia. Ukiwauliza watakueleza kwanini wanawapenda hawa alshababu
 
Kuwa rais wa somalia ni sawa na kuishi na jeneza lako ndani
 
Back
Top Bottom