'Ni aibu kuongozwa na Dereva Kipofu mkitegemea kufika Salama.''
Ni aibu kutumia bidhaa iliyotokana na kiwanda kibovu (-mfumo)..ukitegemea bidhaa hiyo itakuwa bora..!
"Watu wanataka Mabadiliko,wasipoyapata ndani ya CCM watayafata nje ya CCM.....,Upinzani wa Kweli utatoka CCM" BY MWL.J.K.Nyerere. .......Enzi za Mitume Sauli alikuwa Muuaji sana wa Watu wa Mungu baadaye aliuona ukweli akaongoka na kuitwa Paulo ambaye alimtumikia Mungu kwa ujasiri mkubwa kiasi kwamba anaheshimiwa na Wakristo mpaka leo.
Vilevile kuna Msemo kwamba "Mavi ya Kale hayanuki" Hata Makaburu walimchukia sana Mandela lakini mwishowe alikuwa Rais wao.
Nipashe ya 26 Oct - 2009! Tumekusikia.
Mleta Mada Hi I Tuhuma Za Ufisadi Kwa Rsis Mtalajiwa Zilishadunda.Uongo Mtupu.Wataznia Hawadanganyiki Me a Mate Ulale.
Mbeke
Mkuu, Sijui unataka nini hasa....hebu wasiliana na Mh. Gunini...T na Mh. Mge....T ndhani watakutatulia tatizo lako mana ke unasumbuliwa na homa Ya KIJANI na NJANO......