Acha umbeya wewe ripoti ya Dr Mwakyembe haikusomwa yote unajua kilichokuwa ndani yake ni nini au unajitoa ufahamu kweli aliyewaloga bado yupo hai mumtafute.
Ninachoipendea ccm na wanachama wake wote akili zishawacheza,yaani hata hawajui hiyo 80%waliipataje na kama mazingira yakibadilika itakuwaje.pili kushuka kutoka 100% hadi 80% hawaoni tatizo?nadhani hii ni dalili nyingine ya ccm kuzimuWatanZania wapi hao unaowaongela? Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014 CCM ilikubaliwa na WatanZania karibia asilima 80 (80%)! sasa sijui hao unaowaongeli ni wa wapi hao?
Mkuu Mimi nilidhani kuvunjika kwa pakacha huwa nafuu ya mchukuzi ila sasa naona kama Leo iko tofauti tatizo ni nn?mie nilitegemea ccm tuingie barabara kusherehekea ushindi kwa Kuwa ukawa wameshalikoroga badala yake tunashinda mitandao kukishitaki chama chetu ccm Kwamba kimeshindwa Kazi kwa Kuwa pamoja na ushahidi wa watu kutumia madaraka vibaya na kufanya wizi bado wanadunda mtaaniHivi kweli ukawa mmekosa mtu mpaka mpokee mtu ambaye nyie wenyewe mlikuwa mstari Wa mbele kusema ni Fisadi Tena mkazunguka nchi nzima mnisema wananchi wasimchague...leo hii mnamuona msafi eti sababu mnaichukia ccm...hata mfanye nini Lowasa hawezi kumfikia magufuli kwa utendaji,kupendwa na wananchi na kwa sifa safi!!mnamshauri vibaya waziri mstaafu na kufanya zaidi kuwa na mawazo....mwambieni ukweli sio kwamba anachukiwa Ila kwa Sasa Tanzania inamhitaji DK.MAGUFULI....na kingine,je akikosa huo urais nyie ukawa mtaendelea kumuheshimu au mtamdharau?
Ninachoipendea ccm na wanachama wake wote akili zishawacheza,yaani hata hawajui hiyo 80%waliipataje na kama mazingira yakibadilika itakuwaje.pili kushuka kutoka 100% hadi 80% hawaoni tatizo?nadhani hii ni dalili nyingine ya ccm kuzimu
Kwa akili yako mwakyembe ndo Hansard za Bunge siyo?Acha uongo ndugu haulipi yaani ushatuona wote humu mapunguani Mwakyembe bungeni asiisome yote ila Nipashe iitoe yote be seriously ndugu hii nchi ni yetu sote siyo ya vyama .
Acha uongo ndugu haulipi yaani ushatuona wote humu mapunguani Mwakyembe bungeni asiisome yote ila Nipashe iitoe yote be seriously ndugu hii nchi ni yetu sote siyo ya vyama .
WatanZania wapi hao unaowaongela? Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014 CCM ilikubaliwa na WatanZania karibia asilima 80 (80%)! sasa sijui hao unaowaongeli ni wa wapi hao?
Mkuu access to information kwa watu wengi imekuwa kubwa ukilinganisha na miaka yako hiyo.sasa hivi watu wana uwezo mkubwa wa kufanya informed decisions.sasa hivi tunajua kuna watu walikuwa watendaji wa kata ila kwa kukubali maagizo ya kutangaza matokeo ya uongo Leo mmewapa ukuu wa wilaya.Tunakoelekea na kama access to information itaendelea kuongezeka, hivyo vyeo inabidi mkawapee nchi nyingine au Mbinguni maana na hakika watachomwa moto.yaani watu tulivyoichoka ccm wewe ulete ujinga?Hata kama asilimia zinashuka lkn huwezi kushuka ktk 80% mpaka 40% ndani ya miezi sijui 6 wakati mazingira ni yale yale, kumbuka kama CCM ilikuwa zaidi ya 95% imechukuwa zaidi ya miaka 20 kupoteza asilima 10 (10%) sasa itakuwa ni Miujiza ya Musa ndani ya miezi sita ipoteze zaidi ya asilimia 40%, hiyo ni Miujiza na wa kuwezesha yote haya bora angekuwa mwingine lakini siyo fisadi Lowasa ambaye hata kumuuza tu kwa wananchi ni shida zaidi ya kuhonga boda boda!
Mkuu kuleta hii Hapa mtandaoni unatupotezea muda tu na mwisho utaishia kutukanwa.why usimpelekee DDP au police.why mtu atusumbue na chama chetu na serikali yetu na ushahidi tunao wa kumwagaKama unayo ripoti ya Dr. Mwakyembe. ilete hapa..
Kwa taarifa yako hili gazeti liliipitia ripoti yote ya Mwakyembe..hakuna walichokiacha..Nipashe ni gazeti makini.
''Kilio cha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (pichani), bungeni kwamba alidhalilishwa sana kwa kuhusishwa na mkataba tata wa kampuni ya Richmond, si lolote wala chochote baada ya uchunguzi wa kina wa nyaraka uliofanywa na gazeti hili kubaini kwamba alihusika vilivyo katika mchakato mzima wa zabuni hiyo.
''
WatanZania wapi hao unaowaongela? Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014 CCM ilikubaliwa na WatanZania karibia asilima 80 (80%)! sasa sijui hao unaowaongeli ni wa wapi hao?
Mkuu kuleta hii Hapa mtandaoni unatupotezea muda tu na mwisho utaishia kutukanwa.why usimpelekee DDP au police.why mtu atusumbue na chama chetu na serikali yetu na ushahidi tunao wa kumwaga
Umewahi kusikia usemi unaosema '' The past determines the future''..Lowassa anayo ''past'' na ni lazima hiyo ''past'' ita-determine ''future'' yake..atake asitake..hii ni kanuni ya maisha.
Vilevile kuna Msemo kwamba "Mavi ya Kale hayanuki" Hata Makaburu walimchukia sana Mandela lakini mwishowe alikuwa Rais wao.
Usijilinganishe na makaburu..Sitakuelewa.
WatanZania wapi hao unaowaongela? Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014 CCM ilikubaliwa na WatanZania karibia asilima 80 (80%)! sasa sijui hao unaowaongeli ni wa wapi hao?
Lengo kuu la Watanzania kwa sasa ni kuiondoa CCM Madarakani.Bila CCM kuondoka Madarakani ni ndoto kupata Maendeleo maana CCM yenyewe haijui kwa nini watanzania ni Maskini.Ni aibu kuongozwa na Dereva Kipofu mkitegemea kufika Salama.
HATUTAKI UMBEA HUMU WEKENI MFULULIZO WA NYARAKA ZILIZOSAINIWA NA USHAWISHI WA LOWASA SIYO MAGAZETI TENA.
1.WEKA WAZO LA RICHMOND LIMETOKA KWA NANI
2.WEKA CHANNEL YA MADOKEZO KAMA NJIA RAHISI YA MAWASILIANO SERIKALI
3.AMBATANISHA NA VIKAO VILIVYOFANYIKA KUHUSU RICHMOND NA WAHUSIKA PAMOJA NA Sahihi zao
4.weka dokezo linaloonyesha maamuzi ya vikao vilivyofanyika
5.Weka dokezo la pendekezo la rais kuhusu Richmond