Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,167
- 907
Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa
Ushahidi wa namna gani unautaka? Wewe mwenyewe ni ushahidi tosha
Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.
Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
![]()
Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa
Mimi washaniomba Mara kibao na nmekutana nao sana watu hao.....Ila siwez uza utu wangu kama kazi ipo ipo tuuuu ntapata kwa njia sahihi.....
Hee wakugegede?! Duh halafu unakuta vizee vimechokaa.
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.
Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
![]()
Mbona wanasema serikalini badala ya kusema hata kwenye bunge letu kupitia viti maalumu,yaani viti maalumu ni maaalumu kwelikweli
Inawezekanaje na wote ni chama tawala?Huyu mama alifikiria chenge angemuonea huruma? Chenge hakutuonea huruma watu milioni 45 na akatuibia hela zetu kwenye ununuzi wa RADAR itakuwa huyu mama mwenye elimu ya kuunga unga!! Chenge is a sadist , I am sure huyu mama alipoangua kilio yeye alikuwa anacheka!!! Hii kamati inachofanya ni kumuonesha Rais kuwa uteuzi wake wa huyu waziri leaves alot to be desired na kama ana akili atalielewa hilo!!!!
Inawezekanaje na wote ni chama tawala?