Ikulu - Rushwa ya Ngono Imekithiri Serikalini

GanjaPlanter

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
117
Reaction score
119
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.

Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
DSC00429.jpg

Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa

Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja. Unajua Tanzania tunashindwa kufanya maamuzi magumu kwa hizi kauli zenu za kutuambia tulete ushahidi. Hivi unafikili watu wanatunga au? Mimi nakubali kwamba hapa duniani ukitenda ubaya unalipwa ubaya hapahapa, hivyo kama unataka ushahidi subiri ndugu yako au mtoto wako hafanyiwe hivyo ndiyo utajua dunia inakwendaje.

Fanya uchunguzi na chukueni hatua sio mambo ya kuwaamisha wanao fanya makosa.
 
ushahidi wa namna gani?

ushahidi wa mtu akiwa anabanduliwa na afisa muajiri huko serikalini na pia ushahidi wa picha mtu akiwa anaingiza kabisa tuone na kujiridhisha kuwa ni kweli rushwa imefanyika ..na pia chukua picha ya usoni ya binti tuone kabisa kama anabakwa au anafumba macho kusikilizia vitu ....kama anafumba macho basi na kutoa miguno ya kimahaba hapo hakuna rushwa ni watu wanaburudishana baada ya kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa la Tanzania....
 
Dah wadada zetu pole hata lile sakata la flora mbasha ni kwa sababu ya michepuko
 
Sio habari hii ila habari itakuwa habari kama kweli Ikulu imethibitisha kwa maana wanajua na mpaka sasa hatusikii mkakati wa kukomesha hiyo kitu!!
 
Dah wadada zetu pole hata lile sakata la flora mbasha ni kwa sababu ya michepuko
Hapo nimekuelewa, kuwa Flora alihonga ngono ili apate uchungaji Kisha akanogewa!!!!!??. Mind you, wadada hupenda sana kuhonga ngono huku wamama wakiomba rushwa ya ngono kwa wavulana.
 
Mbona wanasema serikalini badala ya kusema hata kwenye bunge letu kupitia viti maalumu,yaani viti maalumu ni maaalumu kwelikweli
 
Wanafuata nyayo za mkuu wao kwani huoni vimwana walivyojaa huko kwenye UDC!!!

Sungura akizidiwa anapowindwa hukimbilia upande uliopo wewe muwindaji ili ujifariji
 
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.

Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
DSC00429.jpg

Analilia ndani ya miwani?
Si alijinadi kuwa ana kisomo cha kutosha?
Hivi naye huyu kazaliwa na mkulima?
 
ushahidi wa mtu akiwa anabanduliwa na afisa muajiri huko serikalini na pia ushahidi wa picha mtu akiwa anaingiza kabisa tuone na kujiridhisha kuwa ni kweli rushwa imefanyika ..na pia chukua picha ya usoni ya binti tuone kabisa kama anabakwa au anafumba macho kusikilizia vitu ....kama anafumba macho basi na kutoa miguno ya kimahaba hapo hakuna rushwa ni watu wanaburudishana baada ya kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa la Tanzania....

hahahahaha we mkalii
 
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.

Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
DSC00429.jpg

Kama UNCLE Mwenyewe Ni Bingwa Na Mdau Wa Hilo Je Unategemea Akina Siye Nasi Tutaacha KUWAGEGEDA Kwa Ahadi Za Kuwapa Kazi au Ajira? Siku Zote Baba Akiwa Makini Basi Hata Familia Yake Nayo Huwa Na Umakini Ule Ule, Heshima Na Adabu Na Hata Leo Kuliongelea Hili Ni Kwamba Tumechelewa Mno Na Sana Na Binafsi Nina Uhakika Asilimia 85 Ya Wasichana, Mabinti Na Hadi Wanawake ( Akina Mama ) Wamepata Mchongo Serikalini Kwa Kuweka Pembeni PICHU....!!!!!
 
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja. Unajua Tanzania tunashindwa kufanya maamuzi magumu kwa hizi kauli zenu za kutuambia tulete ushahidi. Hivi unafikili watu wanatunga au? Mimi nakubali kwamba hapa duniani ukitenda ubaya unalipwa ubaya hapahapa, hivyo kama unataka ushahidi subiri ndugu yako au mtoto wako hafanyiwe hivyo ndiyo utajua dunia inakwendaje.

Fanya uchunguzi na chukueni hatua sio mambo ya kuwaamisha wanao fanya makosa.

Rugambwa Hiyo Picha Unayoitumia INANIUMIZA Lakini NAIPENDA Kwani Ina Fumbo Kubwa Ndani Yangu. Akhsante Kwa Kuamua Kutumia Picha Hiyo. Mwenyezi Mungu Amrehemu Emelly P. L Huyo................!!!!!!!!!!!!!!!
 
Analilia ndani ya miwani?
Si alijinadi kuwa ana kisomo cha kutosha?
Hivi naye huyu kazaliwa na mkulima?

Huyu mama alifikiria chenge angemuonea huruma? Chenge hakutuonea huruma watu milioni 45 na akatuibia hela zetu kwenye ununuzi wa RADAR itakuwa huyu mama mwenye elimu ya kuunga unga!! Chenge is a sadist , I am sure huyu mama alipoangua kilio yeye alikuwa anacheka!!! Hii kamati inachofanya ni kumuonesha Rais kuwa uteuzi wake wa huyu waziri leaves alot to be desired na kama ana akili atalielewa hilo!!!!
 
Back
Top Bottom