Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Yani Atakae wazingua Wawekezaji bila sababu za Msingi atakiona. Ni kauli nzuri inayowafanya Wawekezaji kuvutiwa kuwekeza kwetu sababu kuna backup ya Rais...kwanini "awahakikishie" ushirikiano?
..kwani sasa hivi hawapi "ushirikiano"?
Ni vizuri sana. However let us walk the talk!
Fent fordJpm atoke nje ya Nchi huko akaonane na manguli wa kimataifa na aone wenzake wanavyoendesha mataifa yao...
Yeye ni kukaa hapo Magogoni tu na kuwasubiri akina Zuma waje na kuwaomba hela za kujenga reli?? Shame kabisa.
He has to move and get out of this country. Aache woga wa kwenda kuongea na watu wa kimataifa. Yeye kazi yake ni kupokea report kama anayopokea kesho na kuzindua Ujenzi wa Reli ambayo haina hata hela.
See what Uhuru Kenyatta is doing.
Juzi wakati viongozi wa EAC wanakutana Dsm, Kenyatta alimtuma Makamu Wake Rutto.
Yeye Kenyatta alikuwa London kukutana na wawekezaji wakubwa ambao wanakwenda kuwekeza Kenya. Na alivyotoka London alikuwa anaenda Beijing China for the same purpose.
Huyu wa Tanzania muoga.. Hana agenda ya kuongea akienda nje ya Nchi.
"Tanzania can be a donor country". Now begging to become a donor country, my foot!Ni vizuri sana. However let us walk the talk!
Anawasubiri wakishaingia na kujilengesha anachukua passport zao. Ili kuwarudishia hadi wamalize uwekezaji kama yule mkandarasiTatizo msahaulivu kwahiyo investors huemda wasimuelewe. Leo unakuja na msimamo A kesho msimamo B. Investors huwa hawasahau.
Ulitaka waendelee KUTUIBIA?clueless. unatoka kuhakikishia investors kesho yake unaita press conference kuwazodoa na michanga!!
Nani awazingue wakati kuna sheria na mahakama? Au hajui uwekezaji unafuata taratibu zilizopo?Yani Atakae wazingua Wawekezaji bila sababu za Msingi atakiona. Ni kauli nzuri inayowafanya Wawekezaji kuvutiwa kuwekeza kwetu sababu kuna backup ya Rais.
Sivijui Mimi ni Konda wa Bodaboda.Nani awazingue wakati kuna sheria na mahakama? Au hajui uwekezaji unafuata taratibu zilizopo?