IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

Atimae Zambia wamefata nyayo za JPM, wanaongelea wachina kua na mashine/mitambo ya kuchanjua makinikia ambazo hazijasajiliwa,hapa inaleta picha kama ni kitu kinachoweza kua si gharama sana kama tunavyoaminishwa na wawekezaji
I saw this on the BBC and thought you should see it:

China protests at Zambia mining arrests - China protests at Zambia mining arrests - BBC News
 
Kinachoendelea Tanzania kitaambukiza mataifa mengine kwa haraka sana
 
naitwa SALMIN TWAHIL natokea MWANZA toka nikiwa mdogo ndoto zangu ni udereva wa magar ya mizigo sasa nina umri wa miaka ishirini na 24 natafuta kazi ya utingo hata bila mshahara sawa kikubwa nijifunze kazi na kuzoeana na marafiki wengi ili malengo yangu yatimie ya uderva pleas atakae sikia nafasi yoyote aniunganishie kwa sasa naishi MWANZA mjini na sina tabia mbovu mbovu nitaheshim kazi kama ninav muheshim mungu naombenimnisaidie ndugu zangu
NB sina baba nina mama angu ashajitaidi kuniangaikia lakn wanamuomba ela na ela ana yote tunamuachia mungu naombeni msaada wenu
Namba za mawasliano
* 0758055050
* 0718384667
ndio namba zangu
Mungu akufungulie milango ili ndoto zako zitimie

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru Mungu kumuona Legend Chenge kwenye maisha yangu akiwa katika ubora wake aiseee kama nisingesoma engineering na kupata bahati ya kusoma law hakika huyu angekuwa role model wangu wa muda wote ningetafuta japo nafasi ata kupata madini yake ya sheria....mzee ni zaidi ya messi anapiga miguu yote yote tena kwa speed ya ajabu
 
Sikumbuki idadi kamili ya kontena za mchanga zilizotajwa kusafirishwa na kampuni ya kuchimba dhahabu ya Acacia kwenda Ulaya, ila zilikuwa nyingi kiasi kwamba zilikotoka kumebakia mashimo matupu.

Wito wangu kwa serikali yetu, waziri wa sheria na hata mheshimiwa Rais Magufuli waangalie kama hakuna kipengele kinachoiruhusu kampuni hiyo kubakia na mchanga wetu ule uliokuwa na makinikia basi urudishwe nchini kwa gharama yao na kama ulijumuishwa kwenye madai ya TRA kwa kampuni hiyo ya shilingi trilioni 424 basi itakuwa ni vema.

Na kama jambo hili halikuwa limezingatiwa kama moja ya jambo la kujadiliwa katika kikao kijacho cha majadaliano kati ya serikali na kampuni ya Barrick basi liwe moja ya ajenda za kikao hicho.
 
Siku moja utaomba mpka mabaki ya kahawa iliyosafirishwa nje yarudi kwa sababu ni mali ya Tanzania. Na majivu ya makaa ya mawe yaliyopelekwa nje yarudi kwa sababu ni mali ya Tanzania.

Na wewe hiyo dalala unayoipanda, vyuma chakavu, urudishe vilikotoka maana ni madini yaliyotoka nchi nyingine. Tanzania imejaa roho za shetani, roho zenye chuki, wivu, husda na kila aina ya uchafu. Na mabati ya kibanda chako yakitumika rudisha yalikotoka maana yameacha mashimo katika nchi nyingine. Na bombardier zikichakaa lazima mabaki yarudi yalikotoka maana ile nickel imetoka nchi nyingine na imeacha mashimo.

Tanzania, a nice country with many poor minds.
 
Hivi inachukua muda wote huu kuteua Waziri wa Wizara muhimu ya Madini na Nishati? Mwezi wa nne huu sasa Wizara hii nyeti haina Waziri.
 
Siku moja utaomba mpka mabaki ya kahawa iliyosafirishwa nje yarudi kwa sababu ni mali ya Tanzania. Na majivu ya makaa ya mawe yaliyopelekwa nje yarudi kwa sababu ni mali ya Tanzania.

Na wewe hiyo dalala unayoipanda, vyuma chakavu, urudishe vilikotoka maana ni madini yaliyotoka nchi nyingine. Tanzania imejaa roho za shetani, roho zenye chuki, wivu, husda na kila aina ya uchafu. Na mabati ya kibanda chako yakitumika rudisha yalikotoka maana yameacha mashimo katika nchi nyingine. Na bombardier zikichakaa lazima mabaki yarudi yalikotoka maana ile nickel imetoka nchi nyingine na imeacha mashimo.

Tanzania, a nice country with many poor minds.

Hapa tuliandika sana kuelezea kasoro nyingi kwenye hii ripoti lakini tukaitwa wasaliti.

Haya makubaliano ya JPM na Barrick yalizingatia hii ripoti? Inaonekana hii ripoti ilikuwa ni upuuzi tu. Bado watu wanaendelea kushangilia.
 
Tunashangilia sio tu kwa hii report, tunashangilia kuwa wizi umegundulika, na hii ni breach of contract. Tanzania sasa ina nafasi ya kujadili mikataba upya bila kushikiliwa na sheria za mikataba ya zamani. Watakubali tu hawana njia, wameshikwa ready handed hawana la kubisha waka kusema, wameiba kweli kweli. Sisi wote tunatakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli, tuweke siasa kando. Vita hii ni ya Watanzania wote, na sio ya Rais Magufuli pekee. kuipinga na kuikosowa vita hii, ni kuwatetea wezi, na huu ni ujinga amka.
 
naitwa SALMIN TWAHIL natokea MWANZA toka nikiwa mdogo ndoto zangu ni udereva wa magar ya mizigo sasa nina umri wa miaka ishirini na 24 natafuta kazi ya utingo hata bila mshahara sawa kikubwa nijifunze kazi na kuzoeana na marafiki wengi ili malengo yangu yatimie ya uderva pleas atakae sikia nafasi yoyote aniunganishie kwa sasa naishi MWANZA mjini na sina tabia mbovu mbovu nitaheshim kazi kama ninav muheshim mungu naombenimnisaidie ndugu zangu
NB sina baba nina mama angu ashajitaidi kuniangaikia lakn wanamuomba ela na ela ana yote tunamuachia mungu naombeni msaada wenu
Namba za mawasliano
* 0758055050
* 0718384667
ndio namba zangu

Utaishije bila mshahara?
 
Tunashangilia sio tu kwa hii report, tunashangilia kuwa wizi umegundulika, na hii ni breach of contract. Tanzania sasa ina nafasi ya kujadili mikataba upya bila kushikiliwa na sheria za mikataba ya zamani. Watakubali tu hawana njia, wameshikwa ready handed hawana la kubisha waka kusema, wameiba kweli kweli. Sisi wote tunatakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli, tuweke siasa kando. Vita hii ni ya Watanzania wote, na sio ya Rais Magufuli pekee. kuipinga na kuikosowa vita hii, ni kuwatetea wezi, na huu ni ujinga amka.
Book 7 inahuhusu, hongera
 
Kama wameiba na mna ushahidi wapelekeni mahakamani mlipwe matrilioni yenu na si kutukanwa na $300m kwa jina la "good faith".
 
Huu ndiyo ujinga tulionawo Watanzania. Unasema kama wameiba wapelekeni mahakamani mlipwe matrioni, unawaambia nani? Wewe sio Mtanzania? Ama maana ya Mtanzania ni CCM? Sisi wote ni Watanzania, usichangane vyama na nchi, nchi ni ya Watanzania wote, na mali ni za Watanzania wote Chadema CCM na vyama vyote, ni Watanzania. Usichanganye vyama vya siasa, vyama vya siasa ni vyama tu, Mtu yeyote anaweza kuibadilisha chama, lakini Tanzania na mali zake ni za Watanzania wote hata wasiokuwa na vyama. WACHA upuuzi wa kusema wapelekeni mahakamani, na wewe JE? Ama unataka tukufanyie kazi wewe, tukilipwa ule bila ya kuchangia kuwadai. Familia yako haitatumia hospitali zikijengwa, ama hazitatumia mabalabala yakijengwa? Jamani acheni statement za kitito na za chuki. Tanzania ni yetu wote.
 
Sihusiki na wala sishangilii ripoti feki kwa jina la Utanzania huo ni ujinga.

Ndiyo maana nahoji. Kwa nini nyie mashabiki mnaojiona watanzania sana mnashindwa kuwapeleka hawa watu mahakamani mmalize matrilioni badala ya kuishia kuhaidiwa $300m in good faith?

Si mna ushahidi?

Utanzania si kushabikia kila kitu Serikali inachosema. Kuhoji Serikali pia ni Utanzania.
 
Mimi nakuukiza unazungumza kwa niaba ya nani? Unahoji kwa niaba ya nani? Unamwambia nani? Hukatazwi kuiuliza serikali, ni vile unavyouliza ni kama wewe sio Mtanzania. Si muna ushahidi? Wakina nani? Unaongea utoto mwingi. Kubali usikubali Rais kwa niaba ya Watanzania sheria na biashara za madini zimebadilika kwa faida ya Watanzania wote. Inaonekana husomi International newspaper, jambo hili limeandikwa dunia nzima. Rais Magufuli ameshinda kwa niaba yako na yangu na ya Watanzania wote. Waliomtangulia walishindwa, na ameweza kuleta mabadiliko, na wawekezaji wamekubali. Hawakukubali kwa kupenda, ni kwa kuwa tulikuwa na ushahidi mkubwa wa kuwafanya wakae chini na kukubali mabadiliko. Jitowe kama unataka, ni Uhuru wako. Omba hata ukimbizi Nchi nyingine ukitaka, lakini vita hii ya uchumi, siasa mbali ni vita ya sisi sote. Hakuna nyie, wao, au miye, ni sisi wote. Umoja ni nguvu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hii taarifa kila ninapoisoma nabaki na maswali mengi sana. Kwa mfano, taarifa ya Prof. Mruma iliyosomwa IKULU inabainisha kuwa yale makontena 277 yalikuwa na uzito wa Tani 20 kila moja. Wastani wa madini yaliyopatikana baada ya kufanya sample analysis kwenye maabara ya GST ni kama ifuatavyo: dhahabu ni 28kg/kontena; copper ni tani 6.75/kontena; silver ni 6.1kg/kontena; sulphur ni tani 7.8/kontana; iron ni tani 6.1/kontena; iridium 6.4kg/kontena; ytterbium 3.7kg/kontena; beryllium 19.4kg/kontena; tantalum 11.7kg/kontena; lithium 21.5kg/kontena, etc. Ukijumlisha uzito wa madini ambayo Kamati ya Prof. Mruma iliona yanathamani kubwa unapata Tani 20.7188. ina maana madini yanayotakiwa kulipiwa kodi serikalini yana uzito kuzidi ule wa kontena zima kwa Tani 0.7188???. Hapo bado hujaondoa uzito wa kontena tupu na madini yasiyo na thamani yaliyopo ndani ya makinikia. Hii inaonesha wazi kuwa Prof. Mruma alipika taarifa yake kwa sababu anazozijua yeye na Kamati yake. Inawezekanaje madini yenye thamani kubwa yaliyopo kwenye kontena moja la makinikia la Tani 20 yawe na uzito unaozidi uzito wa kontena husika? Kwa nini sasa makinikia yanapoenda kule kwenye smelter Japan/China mabaki yake huwa yanayotupwa jalalani na ni kiwango kikubwa kuliko madini yanayovunwa? ina maana wanatupa madini yenye thamani? Kwa results za Mruma, wenye smelters hawatakiwi kutupa kitu maana makinikia yote ndani ya kontena ni madini yenye thamani plus Tani 0.7188 zinazoongezeka njiani kimiujiza. Kwa kweli hapa naona uchakachuaji ulizidi kiwango, naomba kurekebishwa kama nimechemka. Je, Mruma na Kamati yako mlipika data?. Otherwise, wahusika jitafakarini, maana mmeumiza watu wengi sana migodini na serikalini kwa taarifa yenu ya kupika.
 
Back
Top Bottom