Ikulu kumjibu Lema...

Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.

Salva in action. Hongera naona umeanza kujibu hoja humu humu JF...
 
Kama Ikulu ikimjibu Lema basi kuna ukweli waliingili kesi yake kwahiyo wanajihami kwa nguvu zote
 
Kweli Lema chiboko yaani Ikulu inamjadili na kujibizana na Lema ,wanazidi kumpandisha chati.ingieni kwenye gari T2015 CDM kabla mlango haujafungwa
 
kama mtoa mada yuko mjengoni na bado wako m4c hapa mkuu wa kaya anatakiwa awe makini sana hadi mpishi ni chadema du hii kali ya mwaka jf
 
Nabashiri kuwa Jk atamkana yeyote kutoka Ikulu atakayeitisha press conference kumjibu Lema.
 


mhhhh mbona hawabu mpaka sasa??
 
Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.

Pole sana, maana povu linazidi mdomo!
 
Kama Ikulu ikimjibu Lema basi kuna ukweli waliingili kesi yake kwahiyo wanajihami kwa nguvu zote

Kwa hiyo mpaka sasa wewe hujui kuwa hukumu iliingiliwa na Ikulu? Aliyoyasema mkuu wa mkoa wa Arusha wiki kadhaa zilizopita zilikuwa ni uthibitisho mtupu kuwa hakimu alifanya alichoagizwa kukifanya.
 
Kama wanafikiri kwa kutumia jina la Mayor wa Darisalamu watamjibu Lema. Na ikitokea wakimjibu tu lazima Lema apasue kilichojiri kwenye kikao chao cha Oysterbei.

Wakinyamaza wamemuogopa, wakimjibu wanadhihirisha aibu ya kumnyang'anya ubunge.
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.
 



wewe usipoacha mdomo wako mrefu utafukuzwa kazi,
hufai na hata wanasupport message kiukweli hakuna anayeweza kuajiri mtu kama wewe,
heshimu kazi yako, kazi ndo utu wako haya majungu ya siasa hayakupeleki popote.
 
Huyu jamaa anaweza kuwa katumwa kucheck repacation ya majibu endapo Ikulu itamjibu Lema.
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.
Hapa uongo ni upi mkuu Zomba,kwamba hakuna message iliyoandaliwa na JK akaikataa isitoke,au kwamba hakuna pilika pilika zozote za kumjibu Lema?
 
Look if I shoot you, I'm brainless
But if you shoot me, you're famous what's a n*gga to do?
- Jay-Z, Where I'm From
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…