Ikulu, Dodoma: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa mataifa (UNEP)

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
1625828352941.png

1625828376888.png
 
09 Julai 2021
Dodoma, Tanzania

Umoja wa Mataifa UN umefika kumuona Mh. Rais
Umoja wa Mataifa UN umefika Dodoma kumuona Mh. Rais ili kusikia Mpango wake wa miaka 5 na UN kujipanga kushiriki kama Mdau wa Maendeleo wa Tanzania



Masuala ya Mazingira, mabadiliko ya tabia-nchi na biodiversity pia ni maeneo UNEP wanashiriki kwa ukaribu na Tanzania
Source : Global tv online
 
Ni jambo jema kupata support ya UN ktk mambo mbalimbali ya kimaendeleo.

nadhani kipau mbele cha kwanza kiwe elimu yetu, bado ktk eneo hilo tunahitaji kusaidiwa zaidi ili kuboresha ubora wa elimu yetu kuanzia primary.
 
Back
Top Bottom