Baada yakuuliza duni yuko wapi unauliza team ya maghufuli
Subiri utajua kazi waliokuwa wakiifanya na walikuwa wapi baada ya october 25 utajua
Subiri utajua kazi waliokuwa wakiifanya na walikuwa wapi baada ya october 25 utajua
Wassira amebanwa,mbavu na Estar hana habari na Makufuli ten
Well said.Subiri utajua kazi waliokuwa wakiifanya na walikuwa wapi baada ya october 25 utajua
Mkuu nakushauri kwa nia njema urudi tena hapa jamvini tarehe 28/29 mwezi huu ili tufanye postmortem kuhusu kilicho wasibu CHADEMA,vyama vingine vya upinzani vitabaki salama lakini CHADEMA watashikana mashati kumtafuta aliye waingiza mkenge (mpiga deal mahili - also a gifted ORATOR) pamoja na majigambo yao yote yataishia sakafuni,kama CHAMA kitabaki salama yeye ataondolewa unceremoniously kwenye chama.Hiyo timu ilishashindwa kabla haijaanza, na sababu kubwa ni makundi ndani ya chama na Ubabe wa Magaufuli mwenyewe. Magufuli hana rafiki ndani ya CCM na bahati mbaya kwake, yeye mwenyewe amekuwa ni tatizo, ukisikiliza hotuba zake za kampeni yaani anaonyesha viongozi waliopita wa CCM hawajafanya kitu chochote, anakichongea chama chake kwa wananchi.
Anachoongea yeye na matakwa ya viongozi ni tofauti. Inahitaji mtu kama mwenye roho ngumu kama J.Makamba kuweza kufanya kazi na mzee wa Push-Up. Hiyo kamati ya ushindi ilishakaa pembeni ck nyingi!!!