technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,635
- 58,276
stroke hapana ungesema 2000 kidogo inakujaElimu mwisho ilikua 2004.
Baada ya hapo ni drama tu.
Tunazungumzia ubora wa mwanafunzi anayemaliza shule. Leo hii kuna kila aina ya vitabu, kama ungekuwa mdau wa karibu wa elimu ungeona utofauti mkubwa tunaouzungumzia. Sio majengo wala idadi ya wanafunzi kwenye mashule.Mjadala wa ubora wa elimu haujengwi kwenye hizo dhana za kufikirika za sijui insha na kusikiliza dictation.
Ubora wa elimu ni pamoja na usimikaji wa miundombinu, accessibility ya elimu, enrolment ya wanafunzi, idadi wa waalimu, aina ya mtaala na mengine mengi.
Kutoka miaka hiyo mpaka miaka hii, hayo yote yameboreshwa kwa kiasi gani? JIULIZE.
Elimu mwisho ilikua 2004.
Baada ya hapo ni drama tu.
Mjadala wa ubora wa elimu haujengwi kwenye hizo dhana za kufikirika za sijui insha na kusikiliza dictation.
Ubora wa elimu ni pamoja na usimikaji wa miundombinu, accessibility ya elimu, enrolment ya wanafunzi, idadi wa waalimu, aina ya mtaala na mengine mengi.
Kutoka miaka hiyo mpaka miaka hii, hayo yote yameboreshwa kwa kiasi gani? JIULIZE.
Sasa kiswahili gani ulicho kisoma, kama unaandika hujakalili badala ya hujakariri?Kiswahili Darasa la 6, 1989 kama hujakalili Brown ashika tama! Utacheki picha.