Iko wapi bendi ya marehemu Lucky Dube?

Kitena

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
339
Reaction score
255
wapendwa wakubwa habari za majukumu.
Mimi binafsi ni mpenzi sana wa miziki ya legge, hasa hasa lucky dube ila sijajua tokea kufariki kwake kama ile bendi inaendelea kutoa burudani au la na kama ipo kuna single yeyote walioachia hewa na inaitwaje.
Msaada tafadhali kwa wanaofahamu
 
mziki ya legge. ukoje huu mziki??
 

Bendi yake inaitwaje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…