Iko siku duluma na unyanyasaji utaisha tu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
100_0230.jpg


na wanyanyasaji kama huyu jamaa yatawakuta yanayotukuta WatZ tulio wengi wanyonge..
 
siwapendi watu hawa toka moyoni! SIJUI LINAMCHEKEA NANI!??? MANANIIII YAKO WEEEEEE SENZI!
 
Duluma dhuluma that the matter of understanding mi nilivyoelewa alimaanisha dhuluma.Nawakilisha,tujadili ya msingi.
 
100_0230.jpg


na wanyanyasaji kama huyu jamaa yatawakuta yanayotukuta WatZ tulio wengi wanyonge..

Ipo siku watakuja kuishi mtaani. Tutawatenga kama mstaafu flani wa jeshi la polisi. Hua akija vijiwe vya kahawa kwa lengo la kujichanganya na watu, anakimbiwa na kubaki peke yake!
 
Back
Top Bottom