Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.
Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????
Badilikeni wanaume,.

chezeyyya pesa wewe, wadau wanacoment kwa hasira haoooo,
silaha pesa kisu mzigo,tafakarii
chukua hatua
im bout my instrument, im bout my dowMpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.