Nina wasiwasi mkuu na afya ya aliyetoa post hiyo,kwani kuhusu suala la kuanguka lipo kwa wagombea wengi.Inamaana hujawahi kusikia hata katika vijarida vya habari kuwa kuna Padri mmoja mgombea urais ameanguka ****** wakati wa kutafuta wadhamini kule Arusha?Au kwasababu yeye ni padri basi anafaa kuwa rais lakini yule mjahidina hafai,itakuja siku utasema hata sisi wachungaji hatufahi!Hizo ni chuki za kijinga ambazo hazitakusaidia wewe na wenzako!Badilika mkuu kwani jamii inakuangalia kwa macho mawili!
Sema ndio palipo ndio na sio pasipo sio![/QUOTE]
Bwana Pengo, jaribu kuwa objective, majibu yako it says a lot about you kuliko hata huyo unayemtuhumu kuwa ni mdini! kwanza jina lako ni pengo in opposite! pili nobody mentioned or attacked imani ya JK , tatu Dr Slaa hakuanguka kwa matatizo ya kiafya bali it was an accident ya kuteleza bafuni, nne mleta maada proposed to all Candidate who are running for highest office in the land to be examined! tano Dr slaa hakuanguka bafuni Arusha bali ilikuwa Mwanza, to correct your allegation, sita it is on national interest to know health status ya wagombe kwani it might cost the country another election kama mgombea akipatwa na mauti on the process, saba afya ya raisi ni muhimu sana kwani pesa za walipa kodi zinatumika kumuhudumia kupata matibabu first class kuliko mtanzania yoyote! kwa nini aanguke hovyo hadharani? Nane Dr slaa alipata hiyo ajali ya kuteleza bafuni mara moja lakini hata yeye anatakiwa kupimwa afya yake kujua kama yuko fit, tisa kikwete amekuwa na kawaida ya kuanguka hovyo zaidi ya mara moja so that is fair kwa wananchi tuliyempa kazi kujua kulikoni? kumi, mzee ongelea masuala muhimu kwani sisi sote ni watanzania kama wewe ni mwislamu mzuri kuwa mkweli na mzalendo kwa nchi yako sio kukimbilia kwenye udini wakati hoja ni afya ya mgombea narudia that it says a lot about you and who ur. Asante sana