Ikiwezekana Tuunde Petition against JK's Competence katika kuongoza Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikiwezekana Tuunde Petition against JK's Competence katika kuongoza Nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, Aug 26, 2010.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Mgombea Urais wa CCM amekumbwa na matatizo ya kuanguka mara kwa mara huku sababu zinazotofautiana zikitolewa kuhusiana na tatizo hilo.Je Inawezekana kuunda petition ya kushinikiza jopo la Independent Doctors kuchunguza afya ya mgombea huyo na kuthibitisha kuwa kiafya yuko fit kuongoza nchi?Ikiwezekana si kwa JK tu ,hata kwa wagombea urais wengine.

  Kipindi Umar Yar'dua Wa Nigeria alipokuwa Mgombea wa Urais watu walitoa rumours kuwa the guy is not competent to run for Presidency lakini ikapuuzwa na hata na idara ya Usalama wa Taifa,matokeo yake Tatizo lake la Afya lilikua akaja kupoteza maisha.Najua ugonjwa ni tatizo kwa binadamu yeyote,lakini suala la Afya ya Rais yeyote Mtarajiwa ni suala la Muhimu kama ilivyo Taaluma yake,Leadership skills etc

  Nimeuliza!
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi mkuu na afya ya aliyetoa post hiyo,kwani kuhusu suala la kuanguka lipo kwa wagombea wengi.Inamaana hujawahi kusikia hata katika vijarida vya habari kuwa kuna Padri mmoja mgombea urais ameanguka ****** wakati wa kutafuta wadhamini kule Arusha?Au kwasababu yeye ni padri basi anafaa kuwa rais lakini yule mjahidina hafai,itakuja siku utasema hata sisi wachungaji hatufahi!Hizo ni chuki za kijinga ambazo hazitakusaidia wewe na wenzako!Badilika mkuu kwani jamii inakuangalia kwa macho mawili!
  Sema ndio palipo ndio na sio pasipo sio!
   
 3. D

  Dick JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tunaondoana kwenye njia ya Kigoma!
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  soma vizuri post yake hasa paragraph ya kwanza mstari wa mwisho. usikurupuke mkuu, soma post kwanza. Ikiwa hujaisoma post yake mstari huyo unasema.......Ikiwezekana si kwa JK tu ,hata kwa wagombea urais wengine.
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,603
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nina wasiwasi na afya yako kwani unakurupuka kumhukumu mtoa hoja kuwa ana wivu wa kijinga bila kuielewa hoja yake kwa vile tu imemgusa mtu wako. Yeye hoja yake ni juu ya afya wagombea wote wa kiti cha urais na siyo JK peke yake. U napenda vibaya mkuu, punguza jazba, hoja hujibiwa kwa hoja.
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  kusoma ni kitu kimoja na kuelewa ulichosoma ni kitu kingine....msamehe ndiyo maana wanaosoma sana hufeli sana
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Hili la independent doctors kumchunguza litakuwa gumu na kama likikubalika basi lazima tusubiri ufisadi mwingine kupitia afya ya rais..........hakuna atakaye kuwa wazi kusema matokeo ya uchunguzi wa afya yake..................jm (anayeitwa jk) alikuwa wa kwanza kuchunguzwa afya yake ktk kampeni dhidi ya gonjwa hatari la ukimwi lakini dr aliyechukua damu yake ni siri yake........inasemekana damu ilichukuliwa lakini akarejeshewa bila kupimwa.
   
 8. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #8
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi mkuu na afya ya aliyetoa post hiyo,kwani kuhusu suala la kuanguka lipo kwa wagombea wengi.Inamaana hujawahi kusikia hata katika vijarida vya habari kuwa kuna Padri mmoja mgombea urais ameanguka ****** wakati wa kutafuta wadhamini kule Arusha?Au kwasababu yeye ni padri basi anafaa kuwa rais lakini yule mjahidina hafai,itakuja siku utasema hata sisi wachungaji hatufahi!Hizo ni chuki za kijinga ambazo hazitakusaidia wewe na wenzako!Badilika mkuu kwani jamii inakuangalia kwa macho mawili!
  Sema ndio palipo ndio na sio pasipo sio![/QUOTE]

  Bwana Pengo, jaribu kuwa objective, majibu yako it says a lot about you kuliko hata huyo unayemtuhumu kuwa ni mdini! kwanza jina lako ni pengo in opposite! pili nobody mentioned or attacked imani ya JK , tatu Dr Slaa hakuanguka kwa matatizo ya kiafya bali it was an accident ya kuteleza bafuni, nne mleta maada proposed to all Candidate who are running for highest office in the land to be examined! tano Dr slaa hakuanguka bafuni Arusha bali ilikuwa Mwanza, to correct your allegation, sita it is on national interest to know health status ya wagombe kwani it might cost the country another election kama mgombea akipatwa na mauti on the process, saba afya ya raisi ni muhimu sana kwani pesa za walipa kodi zinatumika kumuhudumia kupata matibabu first class kuliko mtanzania yoyote! kwa nini aanguke hovyo hadharani? Nane Dr slaa alipata hiyo ajali ya kuteleza bafuni mara moja lakini hata yeye anatakiwa kupimwa afya yake kujua kama yuko fit, tisa kikwete amekuwa na kawaida ya kuanguka hovyo zaidi ya mara moja so that is fair kwa wananchi tuliyempa kazi kujua kulikoni? kumi, mzee ongelea masuala muhimu kwani sisi sote ni watanzania kama wewe ni mwislamu mzuri kuwa mkweli na mzalendo kwa nchi yako sio kukimbilia kwenye udini wakati hoja ni afya ya mgombea narudia that it says a lot about you and who ur. Asante sana
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii mkuu
   
 10. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nani atatuongoza kwenye hilo??????
   
 11. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  nina wasiwasi na huyu pengo yaani ni bonge la mbayuwayu na vuvuzela kila anchochangia naona kama anatumia akili za tumboni na sio za kichwani
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,901
  Likes Received: 12,042
  Trophy Points: 280
  Nafikiri wewe ndiye unahitaji kubadilika bado una mawazo ya zidumu.
   
 13. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #13
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Bravo wakuu wote mliotoa michango yenu,

  Kuhusu nani atawaongoza hata mimi niko frontline...tujadiliane kama inawezekana then tuunde petitition kwa kutumia pia wanaharakati mbalimbali including lawyers
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kakurupuka tu hata hajaielewa post anajibu tu!
   
Loading...