Nimekuwa nikifuatilia Dini hizi mbili ikiwemo hii yangu ya KRISTO naangalia mavazi ya Padre n.k naona mavazi ya wakuu wetu waliokuwa wanavaa yalikuwa ni ya kufunika miili yao sana. Ila najiuliza kwanini sisi waumini tunavaa hovyo? Kwanini makanisa yasiamrishe waumini wote kuvaa vizuri?