GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,214
wkati wa tukio ndiyo utajua... ila nauhakika mwanaume atamwita mkewe malaya na hata kumshushia kipondo bila kukumbuka kuwa na yeye anacheat
Anishushie kipondo akati nae nimemkuta ... Haaaaa hapo na mie sikubali tutazidunda tu aisee
Tena ukute mwanamke ni siku yake ya kwanza kuchepuka na kufumaniwa juu mwanaume ndo konkodi hahahhaha.....
kama ni mwanamke amini usiamini mwanaume atachepuka ahata kukuletea ndani.. lakini akijua unachepuka atakuuwa .... wanaume wote wanaabudu papuchi hiyo ndiyo nature yao... acha tu
cc MCHUNGUZI HURU unaitwa hukuheheheeee...muite yule mchunguzi huru muanze research basi tupate asilimia ngapi watafanya nn
waache tu usishindane nao kabisaNdo hao wanahalalisha uzinzi eti mwanamme kuchepuka ni kawaida haaaaaa..... Yani hawa tuwaache tu maana ni sikio la kufaaa
kama ni mwanamke amini usiamini mwanaume atachepuka ahata kukuletea ndani.. lakini akijua unachepuka atakuuwa .... wanaume wote wanaabudu papuchi hiyo ndiyo nature yao... acha tu