Ikiwa ndo wewe utafanya nini?

Ntamtoa mwanangu kimyakimya maana hao walimu ni vihiyo
 
Nitaichukulia hii shule kama day care elimu nitampa mwenyewe nyumbani.
 
Nahisi signwriter alikosea coz picha ni nzuri ipa maneno kakosea
 
Mimi hiyo ada nawaachia na mwanangu namtafutia shule nyingine.
 
Waswahili wanasema hakuna uhusiano kati ya jina Na kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…