falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Baada ya kufuatilia kwa makini tumepata nyepesi nyepesi kuwa wastaafu wameamua kupanga kufanya mkutano wiki hii(nitawajulisha siku) ni na madhumuni ni kuwakilisha kundi kubwa la wastaafu waliostaafu serikalini ambapo habari za uhakika zinasema kuwa licha ya wastaafu hao kulitumikia taifa lao lakini hakuna mstaafu aliyeelipwa na hazina wa mifuko ya hifadhi ya jamii tangu jully 2015.
Hali inayowafanya wengi wao kujutia kulitumikia taifa lao kwakuwa mafao yao yalitumika kwenye uchaguzi,ambapo mwakilishi wa wastaafu hao ndugu Joseph Shija amesema wanashangazwa na hatua ya serikali kutangaza elimu bure ikiwa hadi sasa wastaafu hawajalipwa na mifuko ya hifadhi ya jamii wala hazina.
My take: Hii inaweza kuwavunja nguvu wale waliokuwa na ndoto za kuajiriwa serikalini kwa hofu ya kutolipwa mafao yao pindi watakapostaafu.
Barbarosa Lizaboni Mmawia RUCCI Chachu Ombara