January Wawakilishi wa wananchi watakutana tena Jan 2015 na hapa tunajua wazi Serikali inatakiwa kuja na taarifa ya utekelezaji wa Maazimio ya Bunge silaha pekee ni kura ya kutokuwa na imani na serikali yani waziri mkuu by the way mwanasheria katangulia sawali litakuja kwanini Rais ameridhia kujiudhulu kwake kama mapendekezo ya Bunge yana Makosa?
Mheshimiwa Zito kaza buti mpaka kieleweke
Mheshimiwa Zito kaza buti mpaka kieleweke