Ikikutokea wewe utafanyaje?

Ikikutokea wewe utafanyaje?

Thiago Silva

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
322
Reaction score
177
'Umekwenda kuwatembelea ndugu zako kijijini,ukafika, wakakupokea Vizuri, ukashinda mchana kutwa na baadae kabla ya kwenda kulala wakakueleza kuwa ile nyumba ipo karibu na mbuga ya wanyama na usiku wanyama wakali hua wanafika pale hivyo usithubutu kutoka nje usiku, ulipofika mda wa kulala ukapewa chumba ambacho kina vitanda viwili kimoja ukalala wewe na kingine akalazwa mtoto mdogo wa mwenyeji wako! usiku ukawa umebanwa na mkojo saana na ile kuchungulia nje unawaona simba wanazunguka zunguka kila mahali! ukashndwa kuvumilia mpaka asubuhi ukaamua kumbeba mtoto na kumuhamishia kwenye kitanda chako ili ukojoe katika kitanda chake na wenyeji wako wasigundue kuwa wewe ndo uliyekojoa,unapotaka kumrudisha mtoto kwenye kitanda chake unakuta yule mtoto ameisha kunya pale kitandani pako....
..Je? utafanyaje apooo mdau
 
Utajisemesha kuwa mtoto alikojoa kitandan kwake ukamwonea huruma ukamwamishia kitandan kwako nako akapuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom