Kaizer ma swtlo, am around honey. huyo Young_Master asikusumbue hana lolote sijampaka chochote anakudanganya tu
Asprin acha kudanganya watu, umenifanya nimeamka mgonjwa kwa 3some ya jana, halafu unawaambia watu kuwa niliingia mitini??? lol! ndio naamka mwenzio kwa uchovu, ila kha big up to u, kweli ng;ombe hazeeki bandama nimeamini jana, was sooooooo sweet, mi like it kha!
mamito @Blaki Woman upo, Asprin babu yangu mupenzi yuko juu kama kibo na mawenzi, jana kweli alinikagua mjukuu wake, akapitisha vigezo, na chata ya TBS nikapata! lol! ndio naamka! kha!
:A S-rose::A S-heart-2::A S kiss::whoo::mimba::bathbaby::amen::welcome:Asprin acha kudanganya watu, umenifanya nimeamka mgonjwa kwa 3some ya jana, halafu unawaambia watu kuwa niliingia mitini??? lol! ndio naamka mwenzio kwa uchovu, ila kha big up to u, kweli ng;ombe hazeeki bandama nimeamini jana, was sooooooo sweet, mi like it kha!
:A S-omg::welcome:mamito @Blaki Woman upo, Asprin babu yangu mupenzi yuko juu kama kibo na mawenzi, jana kweli alinikagua mjukuu wake, akapitisha vigezo, na chata ya TBS nikapata! lol! ndio naamka! kha!
Hommie Kaizer unaufaham huu msemo "Siku ya kufa nyani miti yote huteleza"?layball::hurt:Homie Asprin leo ndo ile siku....naam...usimumunye wala uchiteme njomba la sivyo utamkosa bure Blaki Womani. Na mida ndo hiyo
Nitakuangalizia BADILI TABIA hadi abadilike, cacico ntamtuma dukani....
:A S-heart-2::lalala:hujafika bado unajadili nini hapo na afrodenzi nakupa 10 min bill utaikuta kaunta kwa Joy
:sorry::busuyamekua haya? Yaani mume wangu wa ndoa unathubutu kuongea maneno haya.....???????? Wallahi narudi kwetu
Sssshhhhiiiiiiiii:washing:BADILI TABIA bora ulivyomaliza round ya kwanza ukaamua kupumzika, mwenzio nipo hoiiiiiiii, huyu babu hafai hata kwa kunuia tu! lol! Asprin mmhhhhh!
Hii kesi yangu na wewe hata utetewe na Kaizer, hautashinda.:fish2:\
yaani ndio mie nimeshanga eti msiri wangu wa moyoni anatoa siri lolz! but cacico ile ya mfyonzo darasa lipo jioni ya leo mwambie sweetlady na Kaunga wasikose mamito.
PIa mwambie Asprin kuwa leo barabara ya 12 palikuwa patupu mtaa mzima hakuna watu kisa eti watu wame safiri kwenda arusha kwa ajili ya kumfunda Erotica kikoa. na mwambie afrodenzi namuachia Kaizer wangu kwa muda tu na kazi za kumfanyia ampikie chakula na kuosha vyombo. asideki chumbani wala, wala kumfulia nguo wala asiingie chumbani kutandika. funguo za ndani nimemwachia Kongosho ila za chumbani kwangu anazo Kaizer. umeskia mamii
We BADILI TABIA weweeeee...! We subiri tu>>>:grouphug:Halafu huyu babu sijui anatumia mkunyati????
Sie tumeamka hoi yeye bado anadunda tu....
Ndo maana round ya asubuhi niliikimbia....
Kipenzi wangu wa rohoni BADILI TABIA hata nikisikia sina la kufanyua. Limbwata lako nimelikubali na nalitaka tena....Ngoja nijipongeze kiduchu na kijana wangu Erickb52, kuwa na wewe ni sawa na Obama kuwa na Michelle.