Ijumaa Mubarak

mzenjiboy

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
830
500
ImageUploadedByJamiiForums1400822191.667435.jpg
 
Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Bismillah Rrahmani Rrahiym, ndugu zangu ktk imani bado tupo ktk mwezi mtukufu wa Rajab tuendelee kuchuma kheir zinazopatikana ktk mwezi huu.
Twendeni ktk nyumba za ibada tukasikilize na tuzingatie tutakayosikiliza ili tupate Rahma ya Allah Subhanahu Wataala.
 
makubazi

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
2,048
1,195
Mhishimiwa sadakta allahu ibarik na jazakallah ni kweli kabisa na kuna wengeni huwa wabishi ukiwaelikeza pitia kulia wao huwa hawataki kabisa na hata kulisikia neno hilo ni wao wana kazania kupita kushoto tuu basi lakini tusivunjeki moya na tuzidi kuwaelimisha na tusiwe na munkar au jazba pale tunapo taka kuwafahamisha na kuwaelimisha ingawa wao huwa wakali na ubishi sisi tuwe watulivu na mwenyezi mungu atujalie sote kwa pamoja na wale wa kulia na kushoto na atujale atupe akili koliko mali na zisije zikatutia motoni na mwisho ni ijumaa njema na amani allahu ibarik
 
Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,062
2,000

Maneno na Vitendo haviendani kabisa. Mti mwema uzaa matunda mema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom