Ijumaa Kuu

Mhmhmh! Nimewaza Sana jinsi alivyovaa. Hivi kofuli aka chupi,nayo kavaa ya mbogamboga?
 
Yes Leo ndio ijumaa kuu jamaa atakapochukua vitasa vya nguvu kutoka kwa mayahudi mpaka kuzima
 
Jamani kwa nini haturuhusiwi kula nyama leo?
Mbona misibani wanakula nyama sana? Naomba msaada/ kueleweshwa vema.
 
Ivi jogoo kashawika tayari?
Leo Mungu anakula kibano toka kwa taifa teule ole wako uwalaani utalaaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…