Ijumaa khareem

Ubarikiwe sana, ninachokukubalia wewe unaheshimu imani za watu na wala huna muda wa malumbano safi sana, hivi ndivyo tunavyotakiwa tuishi, huwezi jua mshana jr ninaempinga ndiye yeye atakaenizika
HARUFU natamani wote wawe na mawazo kama yetu kuishi kwa kuheshimiana na kupendana bila kujali tofauti zetu! Kwa njia hii dunia itakuwa sehemu ya furaha na salama sana
 
Last edited by a moderator:
HARUFU natamani wote wawe na mawazo kama yetu kuishi kwa kuheshimiana na kupendana bila kujali tofauti zetu! Kwa njia hii dunia itakuwa sehemu ya furaha na salama sana

unayaweza wewe na. HARUFU ila. faiza foxy na yule mvaa vipendo. ALSHABABu hawawezi asalan
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…