Ijumaa Kareem!

Mtambuzi kwenye ile gari ulikua ni wewe? Nilikua nimesimama pale supermarket iyo gari ilikua mbele yangu
 
Last edited by a moderator:
Na kweli ijumaa karim ila hapo waliposimama ninavyojua hapo huwa hamna kituo cha Daradara mpaka kule chini Mwembeni au walikuwa wanasubili Bajaji ya ZIDUNA.
 
NAPITA, walikuwa wanasubiri hii makitu
 
Attachments

  • IMG-20131228-00787.jpg
    353.8 KB · Views: 637
  • IMG-20131228-00791.jpg
    317.4 KB · Views: 603
Na kweli ijumaa karim ila hapo waliposimama ninavyojua hapo huwa hamna kituo cha Daradara mpaka kule chini Mwembeni au walikuwa wanasubili Bajaji ya ZIDUNA.

Daladala million
 
Mtambuzi naona ijumaa kareem with valentine..ilikuwa ijumaa iliyopita nn??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…