A,alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Ritz. MziziMkavu. AshaDii. Na members wote wa JF. M/MUNGU atujaalie kheri, neema na baraka tele. Atuondoshee maradhi na atujaalie afya njema. JUMAA MUBARAQ.
BWANA YESU ASIFIWEE! Leo ni siku ya maandalio ya Sabato takatifu ambapo sabato ni kesho ,Hakika mtu hatauona ufalme wa mbinguni bila kupita kwa Yesu Kristo,Enendeni mkawahubiri mataifa mkiwabatiza kwa jina la Baba,Mwana na Roho Mtakatifu Amen!