Ijumaa kareem

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
A salaam alaykum Wa rahmma tulah wabarakat Napenda kuwasalimu ndugu zangu kaka zangu mama baba dada nk hope muwazima namm nimzima Namshukur sanaa mungu Ndugu zangu Nileta maombi yenu humu jf changamoto ninazo pitia Mm na mama na mdogo angu Ieleweke kwamba mm ndie mlezi wa familiar yangu mama pamoja na mdogo angu wakike anae soma shule. Anae jua kula kuvaa kwao nk ni mimi baada ya babu yetu mlezi kufariki na Mama kugundulika Natatizo La HIV lililo mpelekea Kuachishwa kazi kutokana na Kuugua Mara kwa Mara

Enyi ndugu zanguni wamepndwa Mimi sina elimu kwa sababu nilifaulu na kushindwa kuendelea secondary kutokana Na pesa au wakunisomesha kukosekana. Hivyo naangaika kufanya tu kazi za mataani iliniweze kuilisha na kuilea familiar yangu lakini sasa kazi zenyewe ni ngumu sanaa.

Ukitizama umri wangu na maradhi yakifua nilio nayo Siwezi fanya kazi ngumu kwani inanisababishia kutokwa na damu kifuani jambo ambalo ni hatari kwa maisha yangu.

Enyi kaka Dada zangu mama baba zangu pia nyie ndie ndugu zangu wakaribu zaidi hapa duniani Naombeni nitazameni kwajicho latatu nipate kazi au kusomea ujuzi wowote utakao nisaidia kuendesha maisha yangu na familiar yangu nakuondokana na kuwa tegemezi hakika Mungu kawarudhuku.

Uwezo basi tusaidiane sote tuweze kuondokana na utegemezi kila atakae guswa Mungu atamlipa Nawashukur sanaa na niwatakie ijumaa njema
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom