Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,466
- 5,180
Hivi umesikia toka kwa nani UJINGA HUU??????????????Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?
Dunia siyo mbaya.....
Wanadamu ndiyo wabaya.....
Ukiwa na malingo mengi mwishowe utatoweka....
Tembea pole...
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?
Kumbuka pia Yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya Friday.....hii siku nuksi nini!!
Why Friday.
1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa Friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya Friday
6. Madeni mengi hayalipwi Friday
7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya Friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya Friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya Friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya Friday, hasa pesa, laptops nk
kwanini ikifika ljumaa sisi tulio Wakristo tunasema Thanx God its Friday?
Kwanini tusiseme ..ohhh my God, siku mbaya imekuja, Mungu tuepushe nayo?
,Inategemea na akili za mtu jtatu mpaka jpili zote zina masaa 24 ...usiku na mchana .............], First Lady, I have been following all your coments on JF. You have been so nice on answering and or commenting on issues, you lovely. How did the name Black september or Friday thirteen come from?
wewe nani alikuambia jumamosi unayoijua wewe? mungu alifanyakazi siku sita na siku ya saba alipumzika. Ndio maana inasema ilikuwa siku ya kwanza ikawa usiku ikawa mchana. Nakuuliza nani kakuambia wkamba mungu alipumzika jumamosi? jumamosi tulijipangia sisi bwana kwa sababu zetu tu za kutambua mambo. na Ijumaa si siku ya nuksi ni siku ambayo binadamu alipashwa kufurahi kwa kuwa daraja liliumbwa upya kati ya Mungu na wanadamu nuksi ipo wapi? kinachofanyika ni shetani kuwatibua watu kwa kuwachomekea tamaa zao na kuzilipua kwa kuwa wanapumzika kuanzia ijumaa hadi jumapili usiku. kama unasikia utasikia wacha hadithiSiku siyo mbaya...
Dunia siyo mbaya.....
Wanadamu ndiyo wabaya.....
Mungu ,according to Bible alizitumia siku zote saba,alifanya kazi siku sita jumapili mpaka ijumaa na jumamosi alipumzika.Na kila alichokifanya aliona kuwa ni chema including siku.