Haya kakojoe ukalale!Wakuu habari za wakati huu
Kichwa kinasema kuwa ujue vita kuu inayondaliwa kuja maarufu kama ''HARMAGEDONI'' inamaanisha ni vita ya watu wote hata mimi na wewe tutaishiriki kivipi twende pamoja....
Vita hii itakuwa kubwa sana itakayosababisha dunia kubaki mashimo mashimo itakuwa juu ya nyuklia na atomic na mamilioni ya watu watakufa na miaka ya ujima na ujamaa itajirudia baada ya kila kitu kuangamizwa
Itakuwa hivi siku zinakuja ambapo jeshi la China litashambulia USA kwa nguvu za Urusi na Korea KASKAZINI ya KIM JONG ''MZEE WA KIDUKU'' na kuicha magofu kabisa juu ya sakata la SYria na
NYUKLIA ZA IRAN. Hapo nchi za ulaya zitaunda umaja wa wa NATO ya kugawana majukumu ya kuvamia china na urusi lakina wataungana hawatashikama hivyo zipo nchi zitakataa kupigana vita kulinda uchumi wao ikiwemo Germany, sweden, Norway,France lakini kinara wao uingereza na NATO itavamiwa na kutokomezwa kabisa
Ikumbukwe kuwa hapa URUSI anaitaji kuwa mbabe wa kivita ulimwengu wote majeshi ya AFRIKA yatangana ili kulinda bara lao zidi ya mashambulizi maana nchi ya urusi itadai kuwa na RAIS mmoja AFRICA jambo litakapingwa na ya AU china itavamia nchi za AFRICA IKIWEMO AFRICA MASHARIKI KATI NA KUSINI na kuweka utawala juu ya viongozi wote wa AFRICA hapo watu watakuwa wanashangaa nini kimetokea duniani na dunia itakuwa taabani siku hizo njaa na tabia nchi itaharibika uchumi utashuka dunia itakuwa imejaa mshimo sababu ya makombora ya nuclia
Kutokana na nchi zote kuwa taabani sana mataifa watakaa kupanga dunia itakuwaje mahali sana watataka kuwa utawala mmoja kutoka mashariki ya kati
Lakini nchi zote za UARABUNI baada ya kuona USA imetokomezwa wataungana pamoja kuvamia taifa ya ISRAEL kupitia Palestina kisingizio juu ya jiji la JERUSALEMU.
Hapa ndipo utakuwa mwanzo wa vita hasa Israel itapigana na maifa yote ya Urabuni wakiongozwa na IRAN,UTURUKI,MISRI vita itakuwa kubwa mmno watu watakamatwa kwenda kusaidia kuvamia ISRAEL ikiwemo TANZANIA lakini wataishia tu kuzunguka jiji la JERUSALEMU .Hapo itakuwa vita ya mataifa ya dunia juu ya ISRAEL lakini kwa maajabu makuu ISRAEL itayashinda na hurudisha utawala NATO bara la ULAYA na kukomboa USA mikononi mwa URUSI na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa vita itakayo dumu kwa muda kama miaka 7
baada ya vita kuuwa zaidi ya theluthi ya watu duniani na uchumi wa dunia kuanguka kwa asilimia zaidi ya 87% ndipo zama za kale zitajirudia maana kila mtu na taifa watashangaa nini kimetokea dunia. View attachment 755154 View attachment 755154
Wakuu habari za wakati huu

Punguza mawazo mgando Na ya NJAAWakuu habari za wakati huu

Aah sisi tunadhani labda ni mapambo ya kukuza uchumi[emoji23][emoji23][emoji23]...Albert Einstein alipoulizwa nini kitatokea endapo vita ya tatu ya dunia itatokea akajibu "siwezi zungumzia vita ya tatu lakini endapo itatokea basi silaha zitakazotumika vita ya nne ni Fimbo na mawe" ilikuwa ni august 1945 baada ya mabomu ya atomic kudondoshwa na USA huko Japan ktk miji ya Hiroshima na Nagasaki. Hivyo mleta mada hutaeleweka kirahisi kama msomaji ataliona kwa Mara ya kwanza andiko lako lakini lina ukweli kwasababu Einstein ndie mhasisi wa nuclia fission and fussion ambayo ndie fizikia ilopelekea kutengenezwa na bom la atomic na alijua zitatengenezwa silaha kubwa za maangamiz fikiria kama bom lenye tani 2 lilisambaratisha Mji wa Nagasaki sasa warusi wanayo zaidi ya 8000 na kati hayo kuna lenye tani 200 NATO wakalibatiza "SATAN" na hili limedizainiwa kwa ajili ya USA na pia hao warusi wanamabom ya nuklia ya hydrogen yaani mawili tu yakitua uingereza au ufaransa au Belgium hizo nchi zitafutika ktk uso wa dunia na ambao hatujafika huko basi zitabaki xtori. Mleta mada nimekuelewa na hicho kitu kinakuja na ujima utarudi ndio maana ya Einstein kusema kuwa baada ya vita ya 3 ya dunia vita ya 4 itakuwa ni ya Fimbo na mawe, hivi mmewahi fikiria hayo mabomu ya nuklia yaliorundika huko Russia USA NK yanasubir nini au nyie mnajua ni mapambo ya utalii? Nchi ya Japan ilionja HALMAGEDON ndo maana ile siku a simulation nuclear Missile iliopita kwa kasi ya ajabu ktk anga la Japan likitokea North Korea wazee wengi na serikali nzima ilipata hofu kubwa na kutangaza kupitia television ya taifa kutoa tahadhar juu ya kinachopita angani.
Wote nao tutakuwa nao HAPA HAPAUmesahau jambo moja la msingi.. Wakati vita hii inatokea, watakatifu wote watakuwa wamekwisha nyakuliwa kwenda Mbinguni