Holden Homes
Senior Member
- Aug 29, 2024
- 141
- 100
Tv brand ya hisense ni moja ya TV inayopendwa sana na inafanya vizuri, ila baada ya watu wasio waaminifu wakitaka kutembelea huu upepo na kutaka faida kubwa wameamua kufyatua tv za hisense fake
Swali wewe kama mteja utajuaje hii ni TV ya hisense fake au original????
TV original ya hisense namba zilizoko kwenye warranty yake zinaendana na kwenye box na mda wote inakuwa ndani ya box
TV fake ya hisense namba zilizoko kwenye Warranty hazienda na za kwenye box na mara nyingi haziko ndani ya box
TV fake ya hisense ndani ya mwaka mmoja baada ya kuinunua ikipata changamoto services centre hawawezi ipokea sababu hawaitambui
Hizi ni bei ya TV original za hisense
HISENSE STOCK
43A4 SMART =600,000/=
50A6H 4K =870,000/=
55U6 ULED =1,200,000/=
58A6N 4K =1,100,000/=