Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,884
- 155,865
Bei sh ngapi mkuu
Ni USD 135'000/ Hadi 139'100/-Bei sh ngapi mkuu
Kulikuwa na moja inaitwa MV Saratoga, aisee ilikuwa Ni zaidi ya motoToyota Coaster Bora ni Second Generation(Box Body) na third generation (Coaster Mayai). Unakutana na injini Kama 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na 1HD-T.
Na baadhi zilikuwa na Air suspension hizo box body na Mayai, Bujibuji nakumbuka miaka ya 2000-2008 njia ya Mbeya-Tukuyu-Kyela ilikuwa na Coaster nyingi zenye air suspension zilikuwa zimenyanyuliwa nyuma ilikuwa ni mbio za kutisha na njia ya Tukuyu Ina Kona Kali na ukungu, hizo 1HD-T zilipiga Sana chini hiyo njia kutokana na madereva kukimbia Sana.
Very expensiveNi USD 135'000/ Hadi 139'100/-
Exchange rate ya leo ni 2319.00
Hivyo Basi, kwa hela ya Tanzania ni Kati ya 313,065,002.61 na 322,572,902.69
Happy hujaweka gharama za kuipandisha melini, bima, ushuru wa bandari na Kodi mbalimbali
Unaibikiri mwenyewe 0 kmVery expensive
Toyota Coaster Zina Bei Sana ukicheki mtandaoni Bei ya Coaster 3rd generation yenye km chache inafika mpaka million 70.Very expensive
Huu uthibitisho wa Nissan Civilian ni gari mbovu, au Mitsubishi Rosa sio imara mmeutoa wapi?Hiyo kama haijanunuliwa haijanunuliwa na Serikali, Basi tutegemee kuiona miaka kumi na tano ijayo, Tena na teknolojia itakuwa imebadilika, maana saa hizi wengi wanahamia kwenye renewable energy vehicles
Huu uthibitisho wa Nissan Civilian ni gari mbovu, au Mitsubishi Rosa sio imara mmeutoa wapi?Toyota Coaster Zina Bei Sana ukicheki mtandaoni Bei ya Coaster 3rd generation yenye km chache inafika mpaka million 70..
View attachment 1727187
The fourth Generation Toyota Coaster ilitambulishwa rasmi mnamo tarehe 22 December 2016 na kuwekwa sikoni Japan kwa ajili ta mauzo tarehe 23 January 2017...
Ukipata majibu niite Mkuu!Huu uthibitisho wa Nissan Civilian ni gari mbovu, au Mitsubishi Rosa sio imara mmeutoa wapi?
Someni huo umeme, achaneni na Mambo ya kutibu gari kwa ramli, dunia inaenda kasi Sana, jaribuni kukimbia nayoNasikia umeme mwingi sana.. kwa shugli zetu hizi nyingi inaweza sumbua..
Blackberry mbaya Sana, Tena ina querty keyboardUkipata majibu niite Mkuu!
Ila nadhani hawa ndio wale wa zama za simu nzuri ni Nokia tu.
Umeme ndo umerahisisha mambo, na hata ukisumbua kujiua tatizo ni rahisi .Nasikia umeme mwingi sana.. kwa shugli zetu hizi nyingi inaweza sumbua..
+1Someni huo umeme, achaneni na Mambo ya kutibu gari kwa ramli, dunia inaenda kasi Sana, jaribuni kukimbia nayo