10:VENISON(FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu.
Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.
9:RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza.
Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano.
Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
8:GOOSE(BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula.
Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata.
Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.
7:BUFFALO(NYATI).
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu.
Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia.
Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.
6😀UCK(BATA).
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India.
Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee.
Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.
5:TURKEY (Bata Mzinga).
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu.
Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia.
Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
4:GOAT/SHEEP(Mbuzi Au Kondoo).
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa.
Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana.
Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.
3:BEEF(Nyama Ya Ng'ombe).
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe.
Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana.
Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.
2:CHICKEN (Kuku).
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi.
Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote.
Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
1😛ORK(Kitimoto).
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu.
Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa.
Hakuna Asiemla Huyu Mdudu.
Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Source. WFP