Ijue ‘ thamani ‘ ya ‘ PhD ‘ ya Ulaya ya Waziri Mwakyembe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,059
Reaction score
126,639
Akizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.

Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..

Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.

Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.

Nawasilisha.
 
Alifanya lini huko utafiti wa kubaini hizi sababu "?
Mbona tumeshindwa tu tokea akina Eto’o hawajawa mastaa.
Kwanini hawatumii nguvu hiyo hiyo kutafuta sababu ya kwanini huwa tunaboronga kabla ya akna Adoff?
Kwamaana hiyo hii ndo kauli ya serikali .
Kuna sababu nyingi zinzosababisha tuwe kichwa cha mwendawazimu Katika michezo kama wizara husika ndo zinaongozwa na hawa.

Mchezaji gani hana wazazi, kwani haruhusiwi kuwasaidia wazazi wake kwa kuwa yupo tumult ya Taifa?
 
Mh.🤔
Namkumbuka Mwakyembe kwenye bunge la katiba mpya, Lissu alimpa za chembe mbaba akabaki kutoa jicho kama waziri wa mambo ya nje daaaah..mbona cheche.

Nadhani sasa itungwe Sheria ya kwamba hawa ' Wakubwa ' wa Serikalini wawe wanatuwekea na Majina ya Vyuo Vikuu vyao walivyosoma huko Ulaya na kupata hizo ' Doctorate Degree ' zao ili nasi tujiridhishe kwani siyo Siri Mimi GENTAMYCINE kwa hii Elimu yangu tu ya Darasa la Saba naona nawazidi Wakubwa / Viongozi wengi mno na ambao ni ' Wasomi ' katika suala zima la Ujengaji Hoja na matumizi sahihi ya Akili tulizopewa bure na Mwenyezi Mungu.

Sasa nathibitisha rasmi kuwa nina ' Mashaka ' makubwa na ' PhD ' ya Waziri Mwakyembe na za Watu wengine kama Sita ( 6 ) hivi ila leo nawaweka ' Kiporo ' kwani haiwezekani na haiingii akilini Mtu mwenye Elimu Kubwa tena ya kuwa na Doctorate Degree / PhD lakini bado anawaza Kipopoma / Kipumbavu namna hii.
 
Usihuzunike hawana elimu mawaziri wako bado ni wasomi tu!

Kuna tofauti kati ya msomi na mtu mwenye elimu
 
Sasa nathibitisha rasmi kuwa nina ' Mashaka ' makubwa na ' PhD ' ya Waziri Mwakyembe na za Watu wengine kama Sita ( 6 ) hivi ila leo nawaweka ' Kiporo ' kwani haiwezekani na haiingii akilini Mtu mwenye Elimu Kubwa tena ya kuwa na Doctorate Degree / PhD lakini bado anawaza Kipopoma / Kipumbavu namna hii.
PhD zao za kupewa hawana lolote, hovyo kabisa,
 
Akizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.

Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..

Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.

Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.

Nawasilisha.
Ukishangaa ya Mwakyembe utayaona ya Propesa la Buguruni
 
'Mzee wa Kyela ambaye ana majibu ya kila jambo'
 
Mwakyembe anacho nishinda ni hadhi ya uwaziri, mshahara, kuvaa suti ila kichwani hanikuti hata nusu.

kama angekuwa na akili angesha jiuzuru pale alipo tolewa wizara ya maana na kutupwa huku kwenye michezo ambapo hajui A wala B
 
Back
Top Bottom