Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Mkuu labda sjakuelewa mbona mimi natumia c8 na ninakula io Hios na marshmallow na pia boom j8 inakula marshmallow. Tena from company. Kwa nini useme hio ndo ya kwanza?View attachment 351132
Hii ndo simu ya kwanza kutoka kampuni ya Tecno kua inatumia Android 6.0 yaani maarufu kama MARSHMALLOW,baada ya kutoka w4 imedhaniwa kua Tecno wamemaliza mfululiza wa Y series ambapo simu ya mwisho ni Y6 na kuanza W4 ambayo ni ya kwanza katika kizazi cha fululizo wa W.
W4 ndo iliyoingia sokon mara ya kwanza kwa kamouni ya Tecno ikiwa na mfumo wa android unaopendwa kwa sasa wa marshamallow pamoja na mfumo wa Hios na ikiwa na bei ya kawaida kwa watumiaji wake.
Ukiachana na suala la kua na adroid mpya 6.0 W4 pia imekuja na umbo zuri lilobuniwa vizuri ikiwa na wide angle camera.
Kwa upande wa kioo W4 ina kioo cha inchi 5 HD KIKIWA NA 1.3 GHz Quad-Core MediaTek prosesa lakini pia inamiliki ram ya GB 1 na uwezo wake wa kuhifadhi vitu wa ndani ni 16 GB kwa upande wa kamera ya mbele ni 8 mp na mbele kua na 2 mp.
Betri la simu hii ni 2500mAh ambayo inadhaniwa kuweza kufika masaa 48 kama ilichajiwa ikijaa na kwa matumizi wakati ikiwa imenyimwa uwezo wa kua na intaneti ya kasi ya 4G w4 inamiliki uwezo 3G pekee.
W4 ina rangi tofauti tofauti kutokana mapenzi ya mtumiaji wa simu hii, ipo ya rangi ya dhahabu,nyeusi na pia nyeupe
List ya vinavyopatikan kwa w4 hii hapa
Ø Inchi 5.0 HD
Ø Laini mbili
Ø Mfumo ni android 6.0
Ø Ina camera ya awide angle pamoja kukufanya uwe mzuri katika picha
Ø 3G ndo mfumo wa mawasiliano wa intaneti unaopatina
Ø Betri yake 2500 mAh
Ø Uwezo wa kuhifadhi vitu wa ndani ni 16 GB
TUKUTANE TENA KUJUA SIMU JANJA ZINGINE TOKA MAKAMPUNI MAARUFU YANAYOLETA BIDHAA HAPA NCHINI......
Ni 180,000
Sasa siuseme na bei ili tuijue vizuri
taja bei sasa kijana mana ndo kitu cha muhimu kuliko vyote ulivoandka hapo, sh ngap
Hiyo tecno inauzwa milioni ngapi?
Mi nauliza mbona tecno hawana mifumo mizuri ya kuapdate android Os. . Nimeona kuapdate c8 kazi kweli wakati wenzao unaupdate online kama application kuna tatizo gani hapo
haa, ametuwekea tofauti au vppicha ulioweka sio w4 mkuu, tafta picha halisi utapotosha umma
haa, ametuwekea tofauti au vp
Huyu atakua blogger ambae yuko desperate na kipato hajui hata anachokiandika yeye mwenyewe.haa, ametuwekea tofauti au vp
nilikosea kweli wakat na upload, asante mzeeKwanza naomba nikuweke sawa kidogo,hio picha ulioweka sio w4 mkuu na pia kamera ya nyuma ndio ina 8mp. Kingine hio picha sio ya w4 utapotosha umma bure, tecno w4
iko hivi.
View attachment 351144
me sio blogger mkuu, nimeandika kwa interest tu, error imetokea ndo mana nimebadilishaHuyu atakua blogger ambae yuko desperate na kipato hajui hata anachokiandika yeye mwenyewe.
I doubt amesahau kueka link
Vipi kuhusu io w4 kua ya kwanza kurun android 6me sio blogger mkuu, nimeandika kwa interest tu, error imetokea ndo mana nimebadilisha
Kwanza naomba nikuweke sawa kidogo,hio picha ulioweka sio w4 mkuu na pia kamera ya nyuma ndio ina 8mp. Kingine hio picha sio ya w4 utapotosha umma bure, tecno w4
iko hivi.
View attachment 351144
Si unaona tecno ya kawaida kabisa
Hii hapa toka google
kusema ya kwanza ku run android 6.0 sidhani kama ni sahihi sana maana hata c8 imeshatengenezewa update ya marshmallow.Vipi kuhusu io w4 kua ya kwanza kurun android 6
nshaitumia, haina hanging issues mkuu...Si unaona tecno ya kawaida kabisa
I guarantee kustack kwake ni mwendo wa kobe