E Ernest Da Vinci Senior Member Joined Dec 5, 2011 Posts 115 Reaction score 28 Apr 21, 2014 #1 ''mbali ya kuwa sanaa ya mapigano kwa kutumia mikono mitupu karate ni mjumuisho wa Nidhamu na Ujuzi'' Sensei Ernest Aussi
''mbali ya kuwa sanaa ya mapigano kwa kutumia mikono mitupu karate ni mjumuisho wa Nidhamu na Ujuzi'' Sensei Ernest Aussi
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Apr 21, 2014 #2 Ernest Da Vinci said: ''mbali ya kuwa sanaa ya mapigano kwa kutumia mikono mitupu karate ni mjumuisho wa Nidhamu na Ujuzi'' Sensei Ernest Aussi Click to expand... Nimefungua nikijua umeshuka nondo za shotokan hapa, nikajua nitasikia kuhusu Gichin et al kumbe ndo umemaliza hapo!? Ahsante kwa kunipotezea muda kufungua hapa. ukirudia siku nyingine ntakupiga ngumi ya pua.
Ernest Da Vinci said: ''mbali ya kuwa sanaa ya mapigano kwa kutumia mikono mitupu karate ni mjumuisho wa Nidhamu na Ujuzi'' Sensei Ernest Aussi Click to expand... Nimefungua nikijua umeshuka nondo za shotokan hapa, nikajua nitasikia kuhusu Gichin et al kumbe ndo umemaliza hapo!? Ahsante kwa kunipotezea muda kufungua hapa. ukirudia siku nyingine ntakupiga ngumi ya pua.