moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
Wewe lazima utakuwa mwalimu mmoja mpumbavu sana.Mm huwa nawazibua tu. Wanafunzi ukiwachekea wanaweza hata kukupaka mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria zimewekwa ili zifuatwe kuvunja sheria ndo kunasababisha hata kuua wanafunzi kwa vibokoWalimu wengi Wa sasa wanaijua sana hiyo sheria ndo maana siku hizi wanafunzi wanafanya watakavyo mbele ya Mwalimu na Mwalimu anawachekea tu na wala hawana muda kabisa Wa kukimbizana na mtoto Wa MTU. Utaanza kusema walimu Wa siku hizo bwana wana urafiki sana na wanafunzi sasa unataka wafanyeje? Sasa hivi Mwanafunzi kama akupendi anaweza kukusingizia chochote hadi ukaozea jera.
Walimu endeleeni kufanya mambo yenu nyinyi Wa kwenu pelekeni Private penye Elimu bora na waache maskini mnaotaka kusaidia watoto waendelee kufuata hizi sheria.
Mtoto Wa siku hizi kwa sheria hizi ni uchawi bora kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama ile sheria inayodai kuwa askari polisi kabla ya kukukamata kwa kosa lolote ni sharti ajitambulishe majina yake kamili, namba yake na cheo chake na sababu yakukukamata. Na ukifikishwa jituoni unawezajidhamini mwenyewe kulingana na kosa na pia ufikishwe mahakamani ndani ya 24hSheria Bongo...... Mtasubiri sana, mwanao atachapwa hadi atasahau jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ni tasaWewe lazima utakuwa mwalimu mmoja mpumbavu sana.
Hata unachofundisha hakina maana yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukithubutu kwa mwanangu aisee itakubid ukaombe Asylum huko sayar ya MarsMm huwa nawazibua tu. Wanafunzi ukiwachekea wanaweza hata kukupaka mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni uoga.....kupigwa na kufa au kuua sio mpango wa mwalim.....anyway ...ambaye ni mwalim wa shule ya secondary au ya msingi ajibu hapa : lengo kuu la adhabu ni nini? unajua wengi wenu mko nje ya field ya ualim....ngoja niwatolee mfano mmoja....mwaka 2016 nilkuwa field ya ualim shule flan ya sekondar DSM ...mara kaletwa bint wa f4 aliyemgomea mwalm kutoka darasan katika kipindi cha commerce na wakati yeye hasomi. katika kumuhoji akadai " mimi sioni kama ni kosa kumgomea mwalim kutoka darasani hata kama sisomi kipindi hicho" basi tulimchapa bakola 100++ mpaka akakiri kua n kosa na kuomba radhi ...heshima ikarudi.... msikopi Ulaya kila kitu.!!!! hii ni Afrika
STUPID.acheni uoga.....kupigwa na kufa au kuua sio mpango wa mwalim.....anyway ...ambaye ni mwalim wa shule ya secondary au ya msingi ajibu hapa : lengo kuu la adhabu ni nini? unajua wengi wenu mko nje ya field ya ualim....ngoja niwatolee mfano mmoja....mwaka 2016 nilkuwa field ya ualim shule flan ya sekondar DSM ...mara kaletwa bint wa f4 aliyemgomea mwalm kutoka darasan katika kipindi cha commerce na wakati yeye hasomi. katika kumuhoji akadai " mimi sioni kama ni kosa kumgomea mwalim kutoka darasani hata kama sisomi kipindi hicho" basi tulimchapa bakola 100++ mpaka akakiri kua n kosa na kuomba radhi ...heshima ikarudi.... msikopi Ulaya kila kitu.!!!! hii ni Afrika