Ijue sheria kwa kujisomea kitabu hiki

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,800
6,280
Habarini wa wakati huu wakuu,

Mimi ni mwanasheria hapa Dodoma. Kwa miaka kadhaa niliyofanya kazi hii ya sheria kwa vitendo, nimekutana na wateja wengi hasa masikini, wasiokuwa na uelewa kabisa kuhusu maswala ya kisheria; ndipo nilipowiwa kuandika kitabu chenye jina DONDOO MUHIMU ZA NAMNA YA KUKABILIANA NA KESI ZA ARDHI, JINAI, MADAI, MIRATHI NA NDOA HASA KWA WASOMAJI WASIO WANASHERIA NA WANASHERIA WACHANGA (SOMO FUPI LA SHERIA KWA VITENDO).

Kitabu hiki kimetumia lugha nyepesi sana inayoeleweka kwa urahisi. Wanasheria tuna 'legal maxim' moja isemayo 'EX LIBLIS', ikiwa na maana kwamba "Elimu Inapatikana Vitabuni", ingawa nafahamu kuwa Watanzania wengi hatupendi kusoma, ila nakuhakikishia kwamba kitabu hiki hakichoshi, kina sentensi fupifupi na kimesheheni mifano mingi itakayokuvutia kukisoma chote.

Nilikuwa natamani kukigawa bure lakini sina uwezo huo, hivyo nimelazimika kukiuza kwa bei nafuu kabisa ya TZS 10,000/= ili kufidia gharama za uandaaji wake. Mikoani natuma kwa nyongeza ya gharama ya usafiri ambayo ni TZS 5,000/=. Lakini pia nauza soft copy kwa asiyehitaji hardcopy, ambapo nitamtumia kwa email au whatsap baada ya kutuma fedha kwenye namba ya simu ya kufanyia malipo.

Ukikisoma kwa kutamani kujifunza kweli, kuna baadhi ya mambo utaweza kuyafanya wewe mwenyewe na hivyo kuepukana na gharama kubwa za kuonana na mwanasheria/wakili.

Kwa mawasiliano, whatsap au piga simu kwenye namba 0689133596 au piga simu tu kwenye 0714401470, 0757304013 na 0738161910.

Karibuni!
 
Habarini wa wakati huu wakuu,

Mimi ni mwanasheria hapa Dodoma. Kwa miaka kadhaa niliyofanya kazi hii ya sheria kwa vitendo, nimekutana na wateja wengi hasa masikini, wasiokuwa na uelewa kabisa kuhusu maswala ya kisheria; ndipo nilipowiwa kuandika kitabu chenye jina DONDOO MUHIMU ZA NAMNA YA KUKABILIANA NA KESI ZA ARDHI, JINAI, MADAI, MIRATHI NA NDOA HASA KWA WASOMAJI WASIO WANASHERIA NA WANASHERIA WACHANGA (SOMO FUPI LA SHERIA KWA VITENDO)...
Softcopy ni shs ngapi?
 
Habarini wa wakati huu wakuu,

Mimi ni mwanasheria hapa Dodoma. Kwa miaka kadhaa niliyofanya kazi hii ya sheria kwa vitendo, nimekutana na wateja wengi hasa masikini, wasiokuwa na uelewa kabisa kuhusu maswala ya kisheria; ndipo nilipowiwa kuandika kitabu chenye jina DONDOO MUHIMU ZA NAMNA YA KUKABILIANA NA KESI ZA ARDHI, JINAI, MADAI, MIRATHI NA NDOA HASA KWA WASOMAJI WASIO WANASHERIA NA WANASHERIA WACHANGA (SOMO FUPI LA SHERIA KWA VITENDO)...!
Safi sanaa wasomi kama wewee wachache ndio tunao wahitajii.

Maana wasomi wa sheria ni wengi lakini weshindwa kufanya kitu kizuri kama hiki.

Binafsi nakupongeza sanaaa.

Pia softcopy bei gani....?

Na Pia Kwa ushauri zaidi wateja wako wafungulie group Tele ikitokea sehem wamesoma hawaja elewa basi waweze kuuliza na kupata darasa zaidi.
 
Habarini wa wakati huu wakuu,

Mimi ni mwanasheria hapa Dodoma. Kwa miaka kadhaa niliyofanya kazi hii ya sheria kwa vitendo, nimekutana na wateja wengi hasa masikini, wasiokuwa na uelewa kabisa kuhusu maswala ya kisheria; ndipo nilipowiwa kuandika kitabu chenye jina DONDOO MUHIMU ZA NAMNA YA KUKABILIANA NA KESI ZA ARDHI, JINAI, MADAI, MIRATHI NA NDOA HASA KWA WASOMAJI WASIO WANASHERIA NA WANASHERIA WACHANGA (SOMO FUPI LA SHERIA KWA VITENDO).

Kitabu hiki kimetumia lugha nyepesi sana inayoeleweka kwa urahisi. Wanasheria tuna 'legal maxim' moja isemayo 'EX LIBLIS', ikiwa na maana kwamba "Elimu Inapatikana Vitabuni", ingawa nafahamu kuwa Watanzania wengi hatupendi kusoma, ila nakuhakikishia kwamba kitabu hiki hakichoshi, kina sentensi fupifupi na kimesheheni mifano mingi itakayokuvutia kukisoma chote.

Nilikuwa natamani kukigawa bure lakini sina uwezo huo, hivyo nimelazimika kukiuza kwa bei nafuu kabisa ya TZS 10,000/= ili kufidia gharama za uandaaji wake. Mikoani natuma kwa nyongeza ya gharama ya usafiri ambayo ni TZS 5,000/=. Lakini pia nauza soft copy kwa asiyehitaji hardcopy, ambapo nitamtumia kwa email au whatsap baada ya kutuma fedha kwenye namba ya simu ya kufanyia malipo.

Ukikisoma kwa kutamani kujifunza kweli, kuna baadhi ya mambo utaweza kuyafanya wewe mwenyewe na hivyo kuepukana na gharama kubwa za kuonana na mwanasheria/wakili.

Kwa mawasiliano, whatsap au piga simu kwenye namba 0689133596 au piga simu tu kwenye 0714401470, 0757304013 na 0738161910.

Karibuni!
Safiii wakili msomi, mimi nina swali mkuu, mfano nimenunua kiwanja ila nataka kiwanja hicho kiwe chini ya watoto, na watoto wapo under 18 nataka wawepo kwenye mkataba mimi niwe shahidi,je sheria inasemaje juu ya kumilikisha mali kwa watoto walio under 18
 
Back
Top Bottom