Jua lina aina 2 za mizunguko,kwanza kuzunguka jua;mzunguko huu hutupatia misimu minne ya mwaka yaani kiangazi,kipupwe,vuli na masika. Pili,dunia kuzunguka mhimili wake Wenyewe; mzunguko huu utupa zamu ya mchana na usiku,na utofauti wa masaa katika uso wa dunia.
Typing error!mkuu jua halizunguki, sayari ndio zinazolizunguka jua!
Tunaomba kujua wana sayansi walio enda kupima joto la jua walitumia material gani?, nilijaribu sana kumfatilia Izack Newton mgunduzi wa jua lakini hakuna sehem aloandika kwa uyakinifu vifaa maalumu vilivyo tumika kupima joto la jua!
mkuu jua halizunguki, sayari ndio zinazolizunguka jua!
wazungu wanajipigia promo sana.... Izack Newton mgunduzi wa jua ...
wakati Yesu anakufa tunaambia jua lilitiwa giza, yaan lili kata mwanga. hivi pale ilikuwaje kama dunia inalizunguka jua na wakati huo mwelekeo wa dunia uliliangalia jua,sasa nikitu gani labda kilifanyika na giza likaingia?
How "Fast" is the Speed of Light?
Light travels at a constant, finite speed of
186,000 mi/sec. A traveler, moving at the speed
of light, would circum-navigate the equator
approximately 7.5 times in one second. By
comparison, a traveler in a jet aircraft, moving at
a ground speed of 500 mph, would cross the
continental U.S. once in 4 hours.
500mph ? What do you mean sir
Miles per hour
Miles per hour
Can you tell a fastest object eve made by human being
Haiwezekani, lazima nishangae... Nje tu ya dunia hapo karibu radiations zinapiga ile mbaya.. mtu akaribie jua hajisomi?? hamna material yoyote ile duniani inayoweza stand joto la jua
Je jua linazunguka au limetulia?
Nasa wameshazoea kutudanganya sana, usikute kuna sehemu hawajawahi kufika ila wanatuletea picha kuwa wamefika